Mume kufukuzwa kazi kumenifundisha kuchepuka, sasa nimekuwa sugu

Kwa hiyo unatuaminisha mwanamke ameumbwa hawezi kufanya kazi za kuzalisha tofauti na kuugawa mwili wake eeh! !?

Umenipa maswali mengi saana wewe mama. Pole wanao. Kuna wanawake single mom's hawajawahi kugawa uroda kama kitega uchumi na familia zao zinasoma na zinakula vizuri
Huenda hawajafunguka! Wana ya moyon mengi,watazikwa nayo kaburini.
 
ni mtihani Mungu kawapa lkn umeshidwa kuufaulu ipo siku yana mwisho mmeo kukaa nyumbani bila ya kz cjui itakuwaje sk hiyo sipati picha usifikiri hajui kinachoendelea lkn hana namna ndo maana kawa mpole
 
Bhandugu salaam!

Nina yangu ya moyoni wapendwa wacheni niyatoe nipate kupumua! Mimi nimeolewa tangu mwaka 2008, tuna watoto wawili na mume wangu.

Lakini tangu mwaka jana February mume wangu alipata matatizo kazini kazi ikawa imeisha, na mimi ni mama tu wa nyumbani, huwa saa nyingine nafanya vibiashara vidogo vidogo kwa msimu tena.

Mwezi huu wa February tunatimiza mwaka mume pasipo kuwa na kazi, watoto wanasoma private school sababu alikuwa na kazi nzuri, yuko na elimu nzuri, akipata kazi huwa inakuwa ya maana.

Sasa mwenzenu maisha yalinishinda, ilifikia point mwanaume anashinda ndani tu hatuna chochote cha kula na watoto, nikaona hakuna namna wacha niokoe jahazi kama mama. Kuna jamaa alikua ananimendea tangu kitambo sana nilikua sina mpango sababu mume alikua akinipa kila nilichotaka.

Sasa kwa wakati huu na shida hizi ikabidi nimkubalie. Tukaenda mji wa mbali tukapima afya, tukazindua mahusiano, mapenzi yakaanza pole pole, jamaani mpaka sasa tuna miezi nane katika kuchepuka (nae ana mke na watoto wawili).

Naomba niseme hivi; NILICHELEWA KUCHEPUKA NA HUYU BWANA, maana mambo anayonipa sijawahi kupata. Mpaka sasa yeye ndio kanipa pesa nimelipa kodi ya nyumba, kanipa ada za wanangu, ananipa matumizi ya nyumbani, maisha safi, stress zote kwiiishhhhaaaa niko na tabasamu masaa yote.

Tumesisitizana kila mmoja aheshimu ndoa yake, nimemsisitiza sana asibadili mwenendo wake mbele ya mke wake na familia yake. Nami nimejiapiza kumuheshimu mume wangu mpaka mwisho, tunafanya kwa usiri mkubwa sana lakini kila mmoja wetu anapata raha ile mbaya.

Akinipa appointment sifanyagi ajizi, sibakishi kitu, nampa hasa hadi inapata moto, nikirudi home kimyaa! Sasa huyu mume wangu anachonishangaza ni kwamba akitaka kutoka ananiomba nauli, nami nampa yoyote nilonayo, misosi napika tunakula, watoto wameenda shule kama kawaida, hata hajashangaa wala haulizi hela natoa wapi wala nini, hapo ndio simuelewi!

Eti jamani nisaidieni atakuwa anawaza nini?
BAADA YA KUSOMA HUU UZI NIMEJIKUTA NNA MASWALI MENGI NAJIULIZA ULIZA,

natamani kumhoji mtoa mada face2face

Nikijaribu kukaa kwenye nafasi ya huyo mwanaume, duh itaniuma sana nkija kujua sipati picha..lakini kumtegemea mwanamke hakujawahi kumwacha mtu salama yangu enzi na enzi.
 
Mume wako ameshafahamu tabia yako na hapo anavumilia tu ili apate kazi tena na ujiandae kupewa talaka kwa sababu siyo mvumilivu ktk ndoa na changamoto za maisha.Hakuna kitu kinamuudhi mwanaume kumegewa tunda lake
 
Bhandugu salaam!

Nina yangu ya moyoni wapendwa wacheni niyatoe nipate kupumua! Mimi nimeolewa tangu mwaka 2008, tuna watoto wawili na mume wangu.

Lakini tangu mwaka jana February mume wangu alipata matatizo kazini kazi ikawa imeisha, na mimi ni mama tu wa nyumbani, huwa saa nyingine nafanya vibiashara vidogo vidogo kwa msimu tena.

Mwezi huu wa February tunatimiza mwaka mume pasipo kuwa na kazi, watoto wanasoma private school sababu alikuwa na kazi nzuri, yuko na elimu nzuri, akipata kazi huwa inakuwa ya maana.

Sasa mwenzenu maisha yalinishinda, ilifikia point mwanaume anashinda ndani tu hatuna chochote cha kula na watoto, nikaona hakuna namna wacha niokoe jahazi kama mama. Kuna jamaa alikua ananimendea tangu kitambo sana nilikua sina mpango sababu mume alikua akinipa kila nilichotaka.

Sasa kwa wakati huu na shida hizi ikabidi nimkubalie. Tukaenda mji wa mbali tukapima afya, tukazindua mahusiano, mapenzi yakaanza pole pole, jamaani mpaka sasa tuna miezi nane katika kuchepuka (nae ana mke na watoto wawili).

Naomba niseme hivi; NILICHELEWA KUCHEPUKA NA HUYU BWANA, maana mambo anayonipa sijawahi kupata. Mpaka sasa yeye ndio kanipa pesa nimelipa kodi ya nyumba, kanipa ada za wanangu, ananipa matumizi ya nyumbani, maisha safi, stress zote kwiiishhhhaaaa niko na tabasamu masaa yote.

Tumesisitizana kila mmoja aheshimu ndoa yake, nimemsisitiza sana asibadili mwenendo wake mbele ya mke wake na familia yake. Nami nimejiapiza kumuheshimu mume wangu mpaka mwisho, tunafanya kwa usiri mkubwa sana lakini kila mmoja wetu anapata raha ile mbaya.

Akinipa appointment sifanyagi ajizi, sibakishi kitu, nampa hasa hadi inapata moto, nikirudi home kimyaa! Sasa huyu mume wangu anachonishangaza ni kwamba akitaka kutoka ananiomba nauli, nami nampa yoyote nilonayo, misosi napika tunakula, watoto wameenda shule kama kawaida, hata hajashangaa wala haulizi hela natoa wapi wala nini, hapo ndio simuelewi!

Eti jamani nisaidieni atakuwa anawaza nini?
Asante kwa kisa mkasa wako, ni nzuri. Baada ya kusoma na kutafakari swali ulilotuuliza kuwa tukusaidir kukupa mawazo huyo mumeo anawaza nini. Inawezekana hajui yuko gizani kabisa kwamba unachepuka ila yuko kwenye mshangao watoa wapi fedha. Alternatively, ameshajua kuwa unachepuka na ndiko huko unapata hizo hela, na kwa sasa hana la kufanya kwani hana nguvu ya kiuchumi na anawachora tu. Mara akipata nguvu ya kiuchumi atawashukia kama mwewe na kuwafanya kitu mbaya sana! Nakutakia iwe ni ile ya kwanza kwamba hajui au basi tumuombee mumeo azidi kupigika asipate nguvu ya kiuchumi ya kumpa kichwa na uhasiti wa kuwashughulikia.
 
Ni her kuchepuka kwa manufaa kuliko kwa hasara,ukizingatia mmepima afya na bado unamheshim mumeo ingawa shida ndiyo ilisababisha uanze kuchepuka,sababu Elim haisubir Mtu na Watoto wako wanasoma vizur na huduma zote unazipata,binafs sion ubaya,sababu kuna wengine wanahongwa na wake zetu,yaan anatoa ndan anapeleka nje lakin kama anatoa nje analeta ndan ni sawa,ugumu wa maisha huweza kusababisha Mtu kujitoa uhai au kupata magonjwa ta ajabu eg ugonjwa wa moyo,sababu inakulazim uwaze zaid na hakuna dawa ya mawazo,nakushaur mshawish akufungulie biashara kubwa il uanze kujitegemea kwa baadh ya vitu na mmeo ajue chanzo chako cha mapato,ni her utawala wa Muammar Ghaadaf waliokuwa wanasema wa kidikteta uliokuwa na faida kuliko utawala wa kidemokrasia kama wa TZ usio na manufaa kwa Wananchi wake,mbunye huwa haish hata ipigwe namna gan,ipo pale pale,kuliko mmeo kufa kwa stress au kupata magonjwa ya ajabu bora,umeokoa jahaz,Mwanamke mwingine angeanza dharau au kukimbia family,Binafsi nakupongeza kwa kuchepuka kwa faida ya familia yako,wakat mwingine shida ndiyo zinafanya Watu kutobak njia kuu,wanaokuponda hawajui faida uipatayo na hasara ambayo ungeipata,wasikie tu shida kwa wengine na bora upate shida hauna majukum kuliko kupata shida una majukum,au ulishazoea kupata pesa alaf ukaishiwa ndiyo utajua Kuku ni Kuku Jogoo jina,We nakuita jasir na mpanaj uliyeamua kujitoa mhanga kuinusuru familia kupitia maumbile yako,binafs nakupongeza nq siombei mabaya yatokee lakin kama Mwanaume anawaza niwazalo ndoa itadumu daima na mtapendana,maana hakuna namna.
 
Hongera kwa kujiongeza Dada yangu,maana hakuna mwanaume anayekosa kazi akakaa ndani kama hotpot , alitakiwa kuchakalika ila kwa sababu ameamua kuolewa na mwanaume mwenzie ndio amlishe we endelea tu
Waliolike comment yako hawana utofauti na wewe. Miss chaga nilikuwa nakuheshimu sana kumbe bure kabisa. Ni bora anaeeleza comment yake kuliko wewe unae like. MNAFIKI MKUBWA
 
Waliolike comment yako hawana utofauti na wewe. Miss chaga nilikuwa nakuheshimu sana kumbe bure kabisa. Ni bora anaeeleza comment yake kuliko wewe unae like. MNAFIKI MKUBWA
Yaonyesha unampenda sana Miss chaga teh teh teh !!
 
Dunia hii...Dunia hii.

Kutokana na hali ya maisha ukaamua kumsaliti Mumeo kwa Makusudi na kuhalalisha ZINAA.

Na kwajinsi unavyomsifia huyo unayezini naye na kumwona bora kuliko mumeo ni wazi kabisa wewe ni Muhuni mzoefu.

Ipo siku Mungu atamuinua tena mumeo kiuchumi sana na si bure akayajua hayo yote unayomfanyia, atakuacha yeye na mchepuko ukakuacha pia.

Utakuja kuwakosa wote.

Acha hiyo dhambi unayoifanya dada yangu.

Usijisifie Usaliti na Uzinzi.
umeongea vzr hadi raha. hvi kuna watu huwa wanahalalisha michepuko kabisa eeeh

Mungu tusaidie
 
Kwahiyo bahati bukuku hakuimba bure kumbe alimaanisha ila subiri siku yako imekaribia utajuta sana bora ungeuza machungwa na familia mkala tembele
 
Back
Top Bottom