Mume kufukuzwa kazi kumenifundisha kuchepuka, sasa nimekuwa sugu

Bhandugu salaam!

Nina yangu ya moyoni wapendwa wacheni niyatoe nipate kupumua! Mimi nimeolewa tangu mwaka 2008, tuna watoto wawili na mume wangu.

Lakini tangu mwaka jana February mume wangu alipata matatizo kazini kazi ikawa imeisha, na mimi ni mama tu wa nyumbani, huwa saa nyingine nafanya vibiashara vidogo vidogo kwa msimu tena.

Mwezi huu wa February tunatimiza mwaka mume pasipo kuwa na kazi, watoto wanasoma private school sababu alikuwa na kazi nzuri, yuko na elimu nzuri, akipata kazi huwa inakuwa ya maana.

Sasa mwenzenu maisha yalinishinda, ilifikia point mwanaume anashinda ndani tu hatuna chochote cha kula na watoto, nikaona hakuna namna wacha niokoe jahazi kama mama. Kuna jamaa alikua ananimendea tangu kitambo sana nilikua sina mpango sababu mume alikua akinipa kila nilichotaka.

Sasa kwa wakati huu na shida hizi ikabidi nimkubalie. Tukaenda mji wa mbali tukapima afya, tukazindua mahusiano, mapenzi yakaanza pole pole, jamaani mpaka sasa tuna miezi nane katika kuchepuka (nae ana mke na watoto wawili).

Naomba niseme hivi; NILICHELEWA KUCHEPUKA NA HUYU BWANA, maana mambo anayonipa sijawahi kupata. Mpaka sasa yeye ndio kanipa pesa nimelipa kodi ya nyumba, kanipa ada za wanangu, ananipa matumizi ya nyumbani, maisha safi, stress zote kwiiishhhhaaaa niko na tabasamu masaa yote.

Tumesisitizana kila mmoja aheshimu ndoa yake, nimemsisitiza sana asibadili mwenendo wake mbele ya mke wake na familia yake. Nami nimejiapiza kumuheshimu mume wangu mpaka mwisho, tunafanya kwa usiri mkubwa sana lakini kila mmoja wetu anapata raha ile mbaya.

Akinipa appointment sifanyagi ajizi, sibakishi kitu, nampa hasa hadi inapata moto, nikirudi home kimyaa! Sasa huyu mume wangu anachonishangaza ni kwamba akitaka kutoka ananiomba nauli, nami nampa yoyote nilonayo, misosi napika tunakula, watoto wameenda shule kama kawaida, hata hajashangaa wala haulizi hela natoa wapi wala nini, hapo ndio simuelewi!

Eti jamani nisaidieni atakuwa anawaza nini?
Ulikuwa na tabia za aina ya uzinzi tu ktk ukoo wenu hukujua tu
 
Aisee!?!halaf unasema umeolewa kweli?!Lil e agano mlilofanya pale kanisan litajibu siku moja,kweli unachepuka?!umeolewa Ili uchepuke nyie ndo mnaotuzibia riziki wadogo zenu kwa kusababisha tusiolewe kwa kupost ujinga wa kuchepuka kunawafanya wanaume wabadili mwelekeo wa kutuoa, ulaaniwe so bora usingeolewa tu!? Non maana ya ndoa
 
hihihihih dogo una kiu na ndoa eh?aic sawa
 
Endelea kulisha familia yako na kiungo chako pendwaa dada, na I'm sure mumeo kashagundua na ameridhika kabisa na ugawaji wako papuchi kwa jamaa huko (ilo ondoa shaka kabisa) ila nipende kukwambia kuwa wewe sasa ni MTUMWA WA NGONO , na soon tegemea kuombwa na TIGO kabisa kutoka kwa huyo njemba, lazima ulipie.
 
f835e42902bc82d99a1297287715ba0e.jpg
 
kama jamaa ni muhehe becareful. Umewahi iona ile movie ya wrong turn kama ujaiona itafute uiangalie.
 
Miaka imepita sasa. Mumeo alipata kazi? Na kuchepuka uliacha?
Bhandugu salaam!

Nina yangu ya moyoni wapendwa wacheni niyatoe nipate kupumua! Mimi nimeolewa tangu mwaka 2008, tuna watoto wawili na mume wangu.

Lakini tangu mwaka jana February mume wangu alipata matatizo kazini kazi ikawa imeisha, na mimi ni mama tu wa nyumbani, huwa saa nyingine nafanya vibiashara vidogo vidogo kwa msimu tena.

Mwezi huu wa February tunatimiza mwaka mume pasipo kuwa na kazi, watoto wanasoma private school sababu alikuwa na kazi nzuri, yuko na elimu nzuri, akipata kazi huwa inakuwa ya maana.

Sasa mwenzenu maisha yalinishinda, ilifikia point mwanaume anashinda ndani tu hatuna chochote cha kula na watoto, nikaona hakuna namna wacha niokoe jahazi kama mama. Kuna jamaa alikua ananimendea tangu kitambo sana nilikua sina mpango sababu mume alikua akinipa kila nilichotaka.

Sasa kwa wakati huu na shida hizi ikabidi nimkubalie. Tukaenda mji wa mbali tukapima afya, tukazindua mahusiano, mapenzi yakaanza pole pole, jamaani mpaka sasa tuna miezi nane katika kuchepuka (nae ana mke na watoto wawili).

Naomba niseme hivi; NILICHELEWA KUCHEPUKA NA HUYU BWANA, maana mambo anayonipa sijawahi kupata. Mpaka sasa yeye ndio kanipa pesa nimelipa kodi ya nyumba, kanipa ada za wanangu, ananipa matumizi ya nyumbani, maisha safi, stress zote kwiiishhhhaaaa niko na tabasamu masaa yote.

Tumesisitizana kila mmoja aheshimu ndoa yake, nimemsisitiza sana asibadili mwenendo wake mbele ya mke wake na familia yake. Nami nimejiapiza kumuheshimu mume wangu mpaka mwisho, tunafanya kwa usiri mkubwa sana lakini kila mmoja wetu anapata raha ile mbaya.

Akinipa appointment sifanyagi ajizi, sibakishi kitu, nampa hasa hadi inapata moto, nikirudi home kimyaa! Sasa huyu mume wangu anachonishangaza ni kwamba akitaka kutoka ananiomba nauli, nami nampa yoyote nilonayo, misosi napika tunakula, watoto wameenda shule kama kawaida, hata hajashangaa wala haulizi hela natoa wapi wala nini, hapo ndio simuelewi!

Eti jamani nisaidieni atakuwa anawaza nini?
 
Bhandugu salaam!

Nina yangu ya moyoni wapendwa wacheni niyatoe nipate kupumua! Mimi nimeolewa tangu mwaka 2008, tuna watoto wawili na mume wangu.

Lakini tangu mwaka jana February mume wangu alipata matatizo kazini kazi ikawa imeisha, na mimi ni mama tu wa nyumbani, huwa saa nyingine nafanya vibiashara vidogo vidogo kwa msimu tena.

Mwezi huu wa February tunatimiza mwaka mume pasipo kuwa na kazi, watoto wanasoma private school sababu alikuwa na kazi nzuri, yuko na elimu nzuri, akipata kazi huwa inakuwa ya maana.

Sasa mwenzenu maisha yalinishinda, ilifikia point mwanaume anashinda ndani tu hatuna chochote cha kula na watoto, nikaona hakuna namna wacha niokoe jahazi kama mama. Kuna jamaa alikua ananimendea tangu kitambo sana nilikua sina mpango sababu mume alikua akinipa kila nilichotaka.

Sasa kwa wakati huu na shida hizi ikabidi nimkubalie. Tukaenda mji wa mbali tukapima afya, tukazindua mahusiano, mapenzi yakaanza pole pole, jamaani mpaka sasa tuna miezi nane katika kuchepuka (nae ana mke na watoto wawili).

Naomba niseme hivi; NILICHELEWA KUCHEPUKA NA HUYU BWANA, maana mambo anayonipa sijawahi kupata. Mpaka sasa yeye ndio kanipa pesa nimelipa kodi ya nyumba, kanipa ada za wanangu, ananipa matumizi ya nyumbani, maisha safi, stress zote kwiiishhhhaaaa niko na tabasamu masaa yote.

Tumesisitizana kila mmoja aheshimu ndoa yake, nimemsisitiza sana asibadili mwenendo wake mbele ya mke wake na familia yake. Nami nimejiapiza kumuheshimu mume wangu mpaka mwisho, tunafanya kwa usiri mkubwa sana lakini kila mmoja wetu anapata raha ile mbaya.

Akinipa appointment sifanyagi ajizi, sibakishi kitu, nampa hasa hadi inapata moto, nikirudi home kimyaa! Sasa huyu mume wangu anachonishangaza ni kwamba akitaka kutoka ananiomba nauli, nami nampa yoyote nilonayo, misosi napika tunakula, watoto wameenda shule kama kawaida, hata hajashangaa wala haulizi hela natoa wapi wala nini, hapo ndio simuelewi!

Eti jamani nisaidieni atakuwa anawaza nini?
Usidhani hajui

Men are dogs but women are stupid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan kwamba huyo mwanaume hajui yanayoendelea? Jinga kabisa, huna heshima na unakuja andika humu....mpka sasa najua lazima kuna janga limeshakupata, utalila mwenyewe......spiritually failure, physically utaishije....
 
Niliju aumeokoa jahazi kwa kuchakarika na biashara ndogondogo kumbe kwa kuuza mwili, what a shame, unamuheshimu mume wako kwa kipi wakati unamsaliti?

Wanawake wakati mwingine tunatia aibu Sana, halafu una guts za kusema mbele za watu kwamba unachepuka

Mungu atuhurumie Sana, maana ya ndoa imepotea kabisa katika kizazi hiki

Tumekiri kwa vinywa vyetu kwamba tutashikamana kwenye shida na Raha, shida zenyewe ndio Kama hizo za kukosa kazi, pesa, kulala njaa na magojwa

Ungekua na busara Kama ungekaa chini umshauri mumeo namna ya kukabiliana na changamoto ya kuwa jobless na umtie moyo Tena umpe mbinu mpya za kupambana hata kwa kuwekeza kwenye miradi midogo midogo hata ya ufugaji

Huu ni wakati ambao mumeo anakuhitaji sana, na kwa ushauri wako mnaweza kusimama Tena, sio wakati wa kuja jukwaani na kumsema mumeo kwamba anakuomba nauli au anakaa ndani

Alipokua na kazi alikuhudumia kea Kila Jambo, jaribu kumsitiri mumeo

You are such a useless wife

Back
Top Bottom