Mume Kanuna

Mume Kanuna

Egesha papuchi igegedwe vizur huku ukijifunza kauli,umemwona sex monger sana nn?
 
Mume kaninunia kisa tulitoka out baada ya kuenjoy mapenzi, tukiwa tunakaribia kurudI nikamwambia tushakula, tumeenjoy, tushasex hope tukifika ni kulala tu, hakuna kusex.

Kanuna eti namsimanga.

Hukutumia busara kufikisha huo ujumbe...ungesingizia labda unaumwa tumbo, kichwa etc...Kubali kuwa umechemka
 
hivi kama mume ana hamu mi sina inakuwaje........, ni lazima ni do hivo hivo

au mi nikiwa na ham ye hana tunafanyaje

Jiulize ulichokimbia kwenu nn?
Jitanda umekiacha
Familia umeiacha
Kupika?kwenu hakukua na jiko?
Kama sio kwako unataka aambato wp?
Guys mnaona ni kitu kidogo but trust me ujinga kama huo una madhara makubwa sana sioni uhalali Wa kuutetea wakat the same very lady aliyepost hii kitu kesho atKuja na post ya mume Kawa Malaya au hanijali o something related
Jifunzenu kua wabunifu
Hamu?aliyekuambia mpaka uwe na hamu ww ndo msex nani?
Stop being selfish
 
Biblia inakataa kunyimana kwa wanandoa,so kama yeye anahitaji na wewe huitaji na huumwi wala huna tatizo lolote kubwa kiafya unapaswa umpe.

Hatambui kwamba ni wajibu wake
Sa sijui wajibu wake nn
 
Imeandikwa "mume hana haki juu ya mwili wake isipo kuwa mkewe, naye mke hana haki juu ya mwali wake isipokuwa mumewe, msinyimane, isipokuwa kama mmekubaliana kwa ajili ya kufunga" kwa maandiko haya mimi nikiambiwa na my wife wangu "geukia huku" au akianza kulipapasa pembe langu simnyimi hata kama nimechoka kiasi gani.

Anajiona yupo sawa mwache achochee kuni mizizi ya mpasuko kwenye ndoa yake
 
Umbuje , nilikuwa najiuliza kwa nn malalamiko yamekuwa mengi tena ya vitu vidogo kama hivi..nahisi watu wanaingia kwen ndoa kwa malengo mengine kbs...inakuwaje unathubutu kimtamkia mumeo neno zito kama hilo? Kilichokutoa kwa wazazi wako ni nini? Si ndio kuvunja mkataba huko? Au ndo anafeel kwamba hiyo papuchi ni more prrecious kuliko mumewe? Hakunaga utani wa ivo bana

Akichepuka itakuja sred nzitooooo......damn
Karucee please note.... OLESAIDIMU umeadimika mkuu...

Nadhani bado mtoto na hakua ready kwa ndoa ts just ni zile ndoa za kufoece kisa Rafiki zake wameolewa au umri unaenda but she still a girl not a woman
She probably don't know what her responsibilities are
 
Last edited by a moderator:
Kuna mahali tunakosea wazazi kwenye malezi ya watoto nadhani,vijana wanaingia kwenye ndoa bila kujua majukumu yanayoambatana na vyeo vya mume/mke!!!

Natamani kukupa like million I mkuuu
Much respect
 
Mimi si mtabiri ila na-foresee topic nyingine toka kwako kuwa mume hakujali baada ya kupata pumziko sehemu nyingine.We endelea kutunza tu sijui inaleta riba!!!

Muache aje namemthread huo tum awe kama Maji
Unajitengenezea shetani Waldo mwenyewe halaf unatafuta mchawi nyokoooo ngoja ile kwake
 
Back
Top Bottom