Mume Kanuna

Mume Kanuna

Nadhani bado mtoto na hakua ready kwa ndoa ts just ni zile ndoa za kufoece kisa Rafiki zake wameolewa au umri unaenda but she still a girl not a woman
She probably don't know what her responsibilities are

Halafu.mleta sredi sijui katokomea wapi aje ajibu hoja zetu apa?
 
Halafu.mleta sredi sijui katokomea wapi aje ajibu hoja zetu apa?

anambembeleza mme acheke eti!!..kama mimi nakuacha unune tu kwan unakufa?!,nikitaka game nazama kikauzu kauzu,na we ukitaka naachia tu hamna aah!wala uuh!, ni maliza yako toka...
 
We umeanza kijisemesha mapema as if unajua atataka ukifika nyumbani au as if unapnga wewe peke yako, nafikiri ungesubiri mkafika then kulingana na hali ya hewa ukajitetea -sijui ninyi ila nahisi hii kitu ukiipangia ratiba inapoteza maana-kama umechoka mlikua wote, kama ni hoja yoyote angeelewa tu.
 
Nimesoma majibu humu ndani kama yana ukweli..wanawake siye ni sababu kubwa kuwasukumia wanaume kwenye michepuko.
 
hivi nyie warembo vp kwani huko kwenu ulipotoka hakuna kitanda?ukishaolewa shughuli ni moja tu umtimizie mume wako mda wowote saa yeyote anapojiskia kugegeda uwe tayari bila kipingamizi siyo dozi ya dengue hiyo ukimeza leo hadi kesho
 
anambembeleza mme acheke eti!!..kama mimi nakuacha unune tu kwan unakufa?!,nikitaka game nazama kikauzu kauzu,na we ukitaka naachia tu hamna aah!wala uuh!, ni maliza yako toka...

Haaaa si utakuwa ubakaji huu jamani Mom Fay? Kufa hapana ila penzi linakufa apo pole pole naucheki mchepuko ulipo mambo mswano
 
Last edited by a moderator:
Jishushe hata kama hakuna kosa, muombe samahani kwa kauli yako iliyomuuzi hayo ndo mapenzi.
 
Nahisi hujui maana ya ndoa
Besides sio ww tu hata yeye hana ruhusa juu ya mwili wake muda wwte unaotaka unatakiwa kupata
So sad U still akid

sometimes mwanaume anatakiwa kuelewa kwamba mke nae ni binadamu,kuna wakati mwanamke hajisikii kufanya au hayupo kwenye mood au amechoka sasa kwa nini usimhurumie mwenzio? ndoa ni kuvumiliana,kukubaliana,sio kumfanaya mmoja punda na mwingine Mungu atii
 
Haaaa si utakuwa ubakaji huu jamani Mom Fay? Kufa hapana ila penzi linakufa apo pole pole naucheki mchepuko ulipo mambo mswano

sawa ukiwa unatafuta mchepuko,na mimi namuita Logistics taratibu tunachepuka,.
 
Last edited by a moderator:
selfish kivipi tena?

With reference to yo statement ts like ww kununa ts okay lakini mumeo/mpendio akinuna sio sawa sababu ni wakiume
Sijui ulitaka acheke no offence but ts selfish
 
sometimes mwanaume anatakiwa kuelewa kwamba mke nae ni binadamu,kuna wakati mwanamke hajisikii kufanya au hayupo kwenye mood au amechoka sasa kwa nini usimhurumie mwenzio? ndoa ni kuvumiliana,kukubaliana,sio kumfanaya mmoja punda na mwingine Mungu atii

Y do u think of uaself tuuu?
Unajuaje kila wakat anavyogegedana na ww anakua kwenye mood?
Kwann hakatai?sabbu anajua wajibu wake so stop being selfish na tambua mipaka ya majukumu yako
 
Back
Top Bottom