Mume Kanuna

Mume Kanuna

Umbuje , nilikuwa najiuliza kwa nn malalamiko yamekuwa mengi tena ya vitu vidogo kama hivi..nahisi watu wanaingia kwen ndoa kwa malengo mengine kbs...inakuwaje unathubutu kimtamkia mumeo neno zito kama hilo? Kilichokutoa kwa wazazi wako ni nini? Si ndio kuvunja mkataba huko? Au ndo anafeel kwamba hiyo papuchi ni more prrecious kuliko mumewe? Hakunaga utani wa ivo bana

Akichepuka itakuja sred nzitooooo......damn
Karucee please note.... OLESAIDIMU umeadimika mkuu...

M back kaka Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Baaaa bwana we kuona aibu kunyima ntu kitu na kitu unacho somooo...!
 
endelea kulala mama kumbuka usilale bila kumpa mwenzako tamu
 
Back
Top Bottom