Mume Kanuna

Mume Kanuna

yaani hilo tu ananuna siku ukichepuka si ndio itakua balaa

hahaa.. we acha tu wanaume wengine wako weak saana kwahiyo kitu, akiona dalili za kusimangiwa tu inamstress kishenz ..ilikuwa ni rahis kusmile na kujipa moyo there's alwayz another time
 
Na wewe nuna..mnunie..nunianenii mpaka kielewe dawa ya moto ni moto!anataka papuch iwake moto ndo ajue umesatsfy???
 
Mume kaninunia kisa tulitoka out baada ya kuenjoy mapenzi, tukiwa tunakaribia kurudI nikamwambia tushakula, tumeenjoy, tushasex hope tukifika ni kulala tu, hakuna kusex.

Kanuna eti namsimanga.

Mpe busu la mahaba atacheka mwenyewe huyo
 
Mume kaninunia kisa tulitoka out baada ya kuenjoy mapenzi, tukiwa tunakaribia kurudI nikamwambia tushakula, tumeenjoy, tushasex hope tukifika ni kulala tu, hakuna kusex.

Kanuna eti namsimanga.

utakuwa umemwabia katika lugha isiyo nzuri, naamini ungemwambia kikawaida au kiupole zaidi zaidi angekutania na sio kununa! jirekebishae mkuu
 
hivi kama mume ana hamu mi sina inakuwaje........, ni lazima ni do hivo hivo

au mi nikiwa na ham ye hana tunafanyaje

Kama mume ana hamu ww huna inabidi ku do hivyo hivyo kwani still anaweza kuenjoy, lakini kama yy hana hamu hamuwezi ku do kwa sababu mashine itakuwa imelala doro!!!
 
Hajanuna shost, huo ni mkwara ili utoe tena,sasa wewe usinune mpe mara dufu aichoke mwenyewe,ila siku nyingine

usimkatae kwa kumpa za uso,unamkataa kisailensa yeye mwenyewe bila kujua kiroho safi anatulia.
 
hahahaahahha nimecheeka sana na kukumbuka post flani hivi

WANAWAKE MNAONGOZA KULALAMIKA WANAUME HAWASHUGHULIKI

YAANI HICHO NAHISI MMEKIFANYIA KWENYE GARI am sure about that

UNATAKA KULINGALISHA NA KILE CHA WEWW KUWA JUU KWELIII????
maana hicho kitakuwa ni cha fasta na cha kwanza



LOOH UNA HATARI WEWE MMH UMEICHOKA NDOA
 
Biblia inakataa kunyimana kwa wanandoa,so kama yeye anahitaji na wewe huitaji na huumwi wala huna tatizo lolote kubwa kiafya unapaswa umpe.

nitampaje wakati sijiskii heee???!!
 
dada hata mimi ningenuna unaninyasi nyasi wakati zipo kibao... ukitoka out hivyo kimoja kwenye gari na kingine bafuni na kingine kitandani kabla ya kulala... mwombe mwenzio msamaha loh

Yaani nikisomaga messages zako nakupenda bure sio siri...
 
utakuwa umemwabia katika lugha isiyo nzuri, naamini ungemwambia kikawaida au kiupole zaidi zaidi angekutania na sio kununa! jirekebishae mkuu

Hapa kuna ukweli mkuu ila hataki kusema alimjibu nini
 
Back
Top Bottom