google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,868
Mwambie mwanaume anuni hata kidogo tena hawasusi siku zote
Ndoa za siku hizi!
Hata hamfundishwi tena nini kinasemwa hadharani na nini hakisemwi?
Hapa kuna ukweli mkuu ila hataki kusema alimjibu nini
Umbuje , nilikuwa najiuliza kwa nn malalamiko yamekuwa mengi tena ya vitu vidogo kama hivi..nahisi watu wanaingia kwen ndoa kwa malengo mengine kbs...inakuwaje unathubutu kimtamkia mumeo neno zito kama hilo? Kilichokutoa kwa wazazi wako ni nini? Si ndio kuvunja mkataba huko? Au ndo anafeel kwamba hiyo papuchi ni more prrecious kuliko mumewe? Hakunaga utani wa ivo bana
Akichepuka itakuja sred nzitooooo......damn
Karucee please note.... OLESAIDIMU umeadimika mkuu...
Jamani,
BM kazungumza kama mwenyekiti wa chama. Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu, mawazo yangu yananituma kusema upinzani waungane, sio lazima wawe chama kimoja ila wasimamishe mgombea mmoja kila eneo, waache kushindana wao kwa wao.
Ujinga wao ndio ulinifanya niendelee kubakia CCM. Mimi ni CCM damu, na naamini CCM itabadilika in next 09 years!
Sam, mawazo yako msumari! safi sana hiyo!
Kidumu chama cha Mapinduzi!
Na kitadumu MILELE!
hivi kama mume ana hamu mi sina inakuwaje........, ni lazima ni do hivo hivo
au mi nikiwa na ham ye hana tunafanyaje
Out mlisex?wapi hotelini au?huna ruhusa ya kumpa ratiba mumeo.Kama ana hamu jee au aende kwa housegirl?
sasa we subir kitandani uanze uchokoz afu utaona kama kanuna
Kama mume ana hamu ww huna inabidi ku do hivyo hivyo kwani still anaweza kuenjoy, lakini kama yy hana hamu hamuwezi ku do kwa sababu mashine itakuwa imelala doro!!!