Jamani naelekea kukata tamaa.. Hiivi ni kweli humu ndani hakuna HIV + hata mmoja mwanaume ambaye anahitaji familia???
Uko wapi mwenza tafadhali njoo tutengeneze maisha yetu, nikupikie chakula kizuri... Nipambe nyumba yetu nzuri kwa maua, tuwe na amani na tupendane...