Mume hanifikishi kisawasawa

Ama unapiga mechi za nje au upo mbioni kufanya hivyo, hapa unatafuta sababu tu. Unawezaje kupeleka mambo ya chumbani hadharani, na hata hujajadiliana na mwenza wako? Jaribu kupiga mechi za nje, ila ujue ndio mwanzo wa kuvunja ndoa na kutesa watoto.
 
unachotaka kwenye ndoa yako kulipiza kisasi na sio kulinda......ongea na mumeo kwanza angalau ujui shida ipo wapi sio kuanza kutafuta mbadala au ndio biashara matangazo maana kila mmoja ana namna yake ya kutangaza
 

hapa umena mkuu,kero na maudhi yoyote ktk ndoa huondoa kabisa hamu ya kujamiiana,wengi hawalioni hilo.
 
Usijaribu ujinga wa kutoka nje ya ndoa, Ndoa ni uvumilivu. Ongopa kupata ngoma. Dawa bado kupatikana, mrudie Mola atakusaidia kukuponyesha na haya mawazo.
 
Huna lolote wewe utakuwa muhuni tu, kwani ushauri wa mambo hayo unaomba jf, je huna wakubwa wewe
 

Kwa uliyoyasema kila mwanaume atakuambia tafuta mtu wa pembeni na atataka awe yeye! ila ni mapito tu hayo ongea nae ujue nini sababu! inawezekana wewe ndo sababu halafu ukatoka nje then utaendelea kutoka mpaka uzoe wadudu nje mje kujiua na il hal mna watoto

Kaa chini ongea nae mweleze ukweli tupu then umuone kama atabadilika! hata asipobadilika bado unatakiwa ueendelee kusisitiza manake mabadiliko yanakuja taratibu ati.
 

Yaelekea kama wewe ni mama wa nyumbani, usiye na kazi yeyote na unaishi uswahilini kidogo, right? Kama ndivyo tafuta kazi au anza kujishughulisha na biashara ndogo ndogo. Kama huwezi kupata kazi ya kuajiriwa mwambie akupe mtaji u-plan biashara nzuri. Tatizo lako ni psychological, sababu yaweza kuwa unashinda unacheza karata na shoga/jirani zako wasio na kazi kama wewe, huku mawazo yote yako kwa mumeo arudi jioni akupe unachohitaji. Jaribu kuishughulisha akili, na mwili utarespond accordingly!
 
Ushauri wangu upunguze huo unene utakuharibia ndoa yako buree,mimi na mwenzangu tulikuwa hivyo mwanzoni lakini ghafla mamaa akanenepeana kiajabu ajabu na hapo ndipo tatizo likaanza,moja kwa wiki,moja kwa wiki mbili akaanza kulalamika nikamwambia apunguze hiyo minyama maana inakinahisha haraka sana nashukuru alikuwa muelewa akapunguza weight kwa kiwango kikubwa tu na ahatimaye yeye mwenyewe akajikuta ana-perform vizuri,i don't entertain minyama nyama kabisa na isitoshe hata wewe mwenyewe yawezekana una-underperform ila tu jamaa hajamwaga hadharani.
 
Kutoka nje co suruhisho la matatzo yko bali ni mwanzo wa matatzo mengne hasa pale mumeo atakapogundua!!kaa chini na mumeo mzungumze kwa umakini coz shit happen!
 
kuna sredi moja humuhumu mmu ilikua ikihusu binti mmoja aliyekuwa akijiuza kipindi akisoma chuo.....nakumbuka kuna mtu alichangia akasema hivii...."ONCE A PROSTITUTE,WILL REMAIN A PROSTITUTE......
We binti yaelekea hako katabia unako...endelea kutafuta HIV....ukiipata ndo utaona je kutofikishwa kileleni ni bora kuliko kuwa na NGOMA...???
Halaf urudi utupe majibu.....kola la kheri...
 
dada yangu huyu dada ni mnafiki kama kweli ni stori ya ukweli inaonekana anamengwa nje kama kawaida analeta ujinga wake hapa tu
 

wewe nahisi unasumbuliwa na laana ya ngono hukumpenda mmeo kwa dhati unajisifia kwa makalio wenzako wanajisifia kwa kudumisha ndoa achaujinga chukua hatua ukimwi unaua
 

yanazungumzika,zungumza na mwenzio,ufumbuzi utapatikana
 

Eheeee! hayo sasa! Mi naona wewe hushughuliki, bali unapenda kushugulikiwa tu! Umeshasema hapa kwamba umenenepa makalio, hilo sio tatizo kama unajua kazi. Inaonesha hayo makalio yamekufanya uwe mvivu sana. Halafu, jichunguze isije ukawa wewe unampa stress mmeo ndo maana he is not concentrating when he makes love. Je huko nje wewe umemuona anavyoshughulika? Wenzako wamamlilia mama!

Kutoka nje kuna gharama zake, watakufanya utoe tigo na uupate uhangaike nao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…