Mume hanifikishi kisawasawa

Yaani wakati mmeo kachoka kweli na mawazo kibao juu ya kazi, Moyes na Bayern halafu wewe unawaza kuchepuka???
Hakuna kipya utakachokipata huko.
 
Ww Ni Malaya tangu zamani.ila ningekupata mm naeteseka kiume ningekivunia maana spew wala cna amri juu ya mwili Wa mke wangu Wa ndoa.Huu Ni usku mnene nimenyimwa tangujana najpoza Na Jamii forum rightnow.kila mtu kweli nakiliochake.me and my crazy world.
 

Mmmhh kwa hiyo wewe sio malayaa au mkeo sio malayaa sijakuelewaa!!
 

Pole sana mkuu, naona umeandika kihisia kweli. Kweli kila binadamu na ulimwengu wake.
 

muulize tatizo nin nw days humfaid atakuambia kinaga ubaga,ukianza kudhahania tofauti na kuawaacha watoto wenu katika hali ngum maradh meng nw days.
 
Nimejaribu kufatilia thread za nyuma Oti Kate lakini inaonesha ndoa yako ina mgogoro vile vile wewe si mkweli kwenye umri. Ebu kumbuka uliyoandika mwenyewe kuhusu makalio yako miaka 2 iliyopita
" 2
First
Last


Oti Kate said:
31st January 2012 11:22
Kwani ukubwa wa makalio ni ugonjwa jamani??
Wana JF,

mimi ni binti wa miaka 23, nimeolewa na nina mtoto mmoja. Kwa maumbile, sio siri nina makalio makubwa sana kiasi kwamba kila nikipita sehemu watu wote wanawake kwa wanaume hawaachi kunitazama.................mwa nzoni nilikuwa naona aibu sana, lakini sasa hivi nimeshajizoelea............... I mean naona kawaida.

Juzi nilikorofishana na baba watoto, katika kujibizana maneno akanambia, .........."kwanza mwanamke gani wewe, ni presha tupu kukaa na wewe humu ndani................kama ningejua hayo makalio yatafikia hivyo, nisingekuoa..............." kwa hayo maneno nilijihisi vibaya sana na ilibidi ninyamaze kubishana................sasa naona amenichoka na ananitafutia sababu ya kuniacha...........ciju nifanyaje coz najua huu ci ugonjwa, wapo wanaonitamani!
 
Last edited by a moderator:
Wamezidi mno kula chipsi na mayai,ndo mana wanaparamia na kukojoa kama kuku,kuleni sembe hamsikii,mtakataliwa na kudharauliwa,
 

UMEONGEA FACT Mwamunu
 
Oti Kate, hakuna namna yoyote ile unayoweza itumia ili kuhalalisha Zinaa....kumbuka dada, "ncha ya mkuki haipigwi konzi"
CC: kichwat
(umemshauri vyema): Kaunga (ushauri wako umetulia):Evelyn Salt ( ushauri wako ni chumvi kwake).
 

hapo hama mke kabisa
 
Last edited by a moderator:



Ukiacha kuwa vuvuzela itasimama, pia nakushauri punguza kiburi, ubinafsi na ubabe
 
Pamoja na umri na mazoea kuchukua nafasi pamoja na majukumu kuongezeka vilevile na watoto wanapunguza ukaribu ukilinganisha na mwanzo wa ndoa.Wewe toka nje lakini utakuja kumtaka kwa machozi wakati ameshakumwaga ujue hamna siri dunia hii.Jifunze mbinu mpya za kumfanya awe na nguvu pia mshirikishe njia tofauti unazofikiri ni nzuri kwako. Google The Cat kwa mitindo zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…