Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,840
aaaah, hiyo sio nzuri kbs...si bora apige mchepukoRaha jipe mwenyewe, nunua dildo

akhaa simo mie!
Ww Ni Malaya tangu zamani.ila ningekupata mm naeteseka kiume ningekivunia maana spew wala cna amri juu ya mwili Wa mke wangu Wa ndoa.Huu Ni usku mnene nimenyimwa tangujana najpoza Na Jamii forum rightnow.kila mtu kweli nakiliochake.me and my crazy world.

njia kuu foleni
Habari wanajamvi,
Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.
Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:
1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi
2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.
Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu jamii formu kutafuta kurusha nae roho.
Naomba mnisadies what to do at the moment!
Bravo mahondaw. Bg up
Huna haja ya kuomba ushauri kwani inaonekana tayari una mawazo ya kupigwa gemu za nje.
Mi nnavojua kwa sisi men jinsi umri unavyosonga na perfomance nayo inapungua kidogo kidogo,so usifikiri ataendelea kukushindilia mibao lukuki kama zamani !!
Ila kama unahisi mechi za ugenini zinaweza kuwa na tija, basi hamia huko kwa vyovyote hao watakaokugonga watakulelea wanao pindi utakapoikanyaga miwaya THINK TWICE !!
Nimejaribu kufatilia thread za nyuma Oti Kate lakini inaonesha ndoa yako ina mgogoro vile vile wewe si mkweli kwenye umri. Ebu kumbuka uliyoandika mwenyewe kuhusu makalio yako miaka 2 iliyopita
" 2
First
Last
Oti Kate said:
31st January 2012 11:22
Kwani ukubwa wa makalio ni ugonjwa jamani??
Wana JF,
mimi ni binti wa miaka 23, nimeolewa na nina mtoto mmoja. Kwa maumbile, sio siri nina makalio makubwa sana kiasi kwamba kila nikipita sehemu watu wote wanawake kwa wanaume hawaachi kunitazama.................mwa nzoni nilikuwa naona aibu sana, lakini sasa hivi nimeshajizoelea............... I mean naona kawaida.
Juzi nilikorofishana na baba watoto, katika kujibizana maneno akanambia, .........."kwanza mwanamke gani wewe, ni presha tupu kukaa na wewe humu ndani................kama ningejua hayo makalio yatafikia hivyo, nisingekuoa..............." kwa hayo maneno nilijihisi vibaya sana na ilibidi ninyamaze kubishana................sasa naona amenichoka na ananitafutia sababu ya kuniacha...........ciju nifanyaje coz najua huu ci ugonjwa, wapo wanaonitamani!