Na hata wenye roho nzuri ya kusaidia wana ID mpya
Hivi Excel alipoteleaga wapi??? If not mistaken Hii inamuhusu 100%....alinifundishaga tuvitu twingi twingiiiii ambapo nilikua sivifahamu pindi nilipojiungaga jf..
Karibu wakarimu bado tupo bado kuna tuvitu twingine ungependa kujuwa?
Ndio wanandoa wa siku hizi.....ya chumbani wanapeleka ubarazani
Ulitaka aandike nn safu hii
msichana umri miaka 27 una watoto wawili! huu uongo uliotukuka! haya jf utapata wapo vijana damu changa wataisugua kama wanaendesha baiskeli mlimani.
Ndio wanandoa wa siku hizi.....ya chumbani wanapeleka ubarazani
Ulitaka aandike nn safu hii
Asante waego...yeah kuna vingine nawish kuvifaham kwakweli...seriously I wish.
Habari wanajamvi,
Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.
Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:
1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi
2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.
Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu jamii formu kutafuta kurusha nae roho.
Naomba mnisadies what to do at the moment.
Spit t out ufundishwe malikia
Ya nn ufe na utamu wqko kama Mia?😀😱
Ndio wanandoa wa siku hizi.....ya chumbani wanapeleka ubarazani
Ulitaka aandike nn safu hii
karibu
waswahili wanasema mzigo mzito mpe mnyamwezi. Hebu niPM nikupe unachokosa.
Hivi Excel alipoteleaga wapi??? If not mistaken Hii inamuhusu 100%....alinifundishaga tuvitu twingi twingiiiii ambapo nilikua sivifahamu pindi nilipojiungaga jf..
Huyu co mwanamke, hmna kitu hapa. Hata anaposema anataka kutoka nje, huyu ameshatoka tayari anatafuta kibali toka kwetu ili sisi tubariki maamuzi yake.Kama una muheshimu usingeleta hii mada hapa hadharani. Familia imekuwa kubwa, mahitaji mengi, vision aliyonayo ya familia inamfanya labda awe hivyo. Halafu kumbe chanzo cha tatizo unakifahamu hiyo namba mbili yako. Rudisha umbile la mwanzo halafu uone kama kuna tofauti!!
Huyu co mwanamke, hmna kitu hapa. Hata anaposema anataka kutoka nje, huyu ameshatoka tayari anatafuta kibali toka kwetu ili sisi tubariki maamuzi yake.
Nakumbuka kauli ya Naibu Spika,"hatuwezi kuwa na u moja kwenye mambo maovu". Huyu hana hoja ni fisadi tu. Km hamridhishi amewah kumwambia? Au km anahisi anakucheat amefanya uchunguzi? Na km anahisi ni tatizo la afya kwann asimshauri waende wakawaone wataalamu wa afya?
Af anakimbilia kuleta humu duh! Me natamani sana muachane tuone km jamaa atashndwa pata mwanamke atakaeweza kutatua changamoto za ndani kwake na af na huyu kicheche km kweli kulikuwa na huo msururu km anavosema.