Mume hanifikishi kisawasawa

Toka nje ya ndoa watu wakatatue marinda ya mknd nadhani ndio unachotaka...halafu inaelekea ww golikipa unakaa hm unawaza kupigwa dudu tu wakat wenzio wanahangahika na maisha.

Hahahahahahahahahahahahah
 
Umewaza mbali sana bibie yaan 6month kama haja change bas unatafuta nawewe anaeweza kukuhesabisha nyota vzur mmm hapana just kaeni jion muongeee mwambie mkiwa bado hamja ruka bed mwambie leo nimemic mno so ineed good perfomance sio kama za sikukadhaa zimeniboa leo nataka good naukinipa kisawasawa ntakupa zawad ok
 
Ni kweli huyu bwana hana tatizo.Jichunguze mwenyewe.
Pili hata kama ana underperform pevuka acha utoto. Hukuolewa kwa ajil ya hilo.
Nina mfano wa mwenzako ambaye jamaa wake hawaiibiki tena kwenye hayo mambo ila anampenda sana.
 

kwa hapo yote yanawezekana labda wewe au mumeo ndo anamatatizo.Chamsingi kaeni chini mzungumze.Lazima atakusikiliza naisi hii itaraisisha kutambua tatizo.Kazi itabaki kwako kusolve
 
muonjeshe tigo atarudi kwa speed.

Upumbavu huu! Kesho akiomba tigo kwa mwanao wa kiume utamlaumu? Mnapiga kelele kila siku za kuwakataa mashoga aafu nyie mnawategeshea Mik.....u yenu eti ndio mtapendwa.!!
 
Miezi 6 ishapita ushapata a new date Jamii Forum best?
 
Tukusaidie nini tena wakati umeshajipa majibu mwenyewe, kwamba unampa muda asipobadilika umeshajipa alternatives (imagine unampa deadline wakati hata hujaongea naye, maybe tatizo ni wewe?) tukusaidie nini tena? Ndoa hujengwa kwa hekima na busara...................... Unaweza kujiona mzuri unatongozwa kila kukicha soon unaachana na mumeo usione hata mmoja 'THE DEVIL YOU KNOW IS BETTER THAN ANGEL YOU DO NOT'
 
kwa hapo yote yanawezekana labda wewe au mumeo ndo anamatatizo.Chamsingi kaeni chini mzungumze.Lazima atakusikiliza naisi hii itaraisisha kutambua tatizo.Kazi itabaki kwako kusolve

Shida dogo hilo acha kufikiria walet yake saa zile mko kwenye shugli .jitume tu bila fikre ya feeza utapata uhondo
 
Ww umekubuhu mumeo anatakiwa kukuongezea dozi kwa kutwa mara 5 si 3 tena maana ugonjwa wako umekuwa sugu.Magenye yakikuzidi tafuta mtaalamu.
 
Jaribu kukaa na mumeo muongee kiurefu sana,ujue unatatizo gani kwake au ana tatizo gani kwako??usithubutu kwenda nje ya ndoa yako mungu atakuhukumu vibaya,muelezee filling zako kwanza kabla ht kuelezea au kutaka ushauri kwenye mitandao,mungu atakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…