Mume hanifikishi kisawasawa

inaelekea huna kazi ya kufanya. kazi yako ni facebook, jamiiforums. mumeo ni kutafuta kucha nzima.
 
utakapoanza kufikiria kucheza "nje cup", nistue basi
 
muonjeshe tigo atarudi kwa speed.

Ha ha ha, wanawake nyie, angalia asije akakimbia mazima maana atataka kujua umejifunza lini mchezo mtamu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Yawezekana mzoea yameathiri utendaji wenu, tatizo laweza kuwa wewe, yeye au nyote. Jaribu kumueleza ukweli wa nini unakikosa sikuhizi na akibidi fanyeni kamtoko japo siku 3 au wiki 1 mkacheze game viwanja vya nje itasaidia kurudisha mzuka.
Yakishindikana hayo, nextweekend nitakuwa Dar kitu fastJet shaaaa, PM nikuelekeze kiwanja nije nisafishe shida zote za "Dar es salaam" kwa syle yoyote.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
take care,sometimes love it disappears and sometime it comes like b4,so love your husband and dont do the stupid things which you have on your mind.
 

Shosti hilo tatizo lipo sana,liliwahi kumpata rafiki yetu mmoja. kabla ya kukushauri labda niulize makalio yamechomoza zaidi kwenda nyuma au ni hipsi zimeongezeka? kwa faida ya jukwaa hili jipige picha kwa style itakayoonyesha mambo niliyouliza hapo juu then iweke hapa ili nikushauri kivitendo zaidi,
 
Fanya utundu badilisha mfumo km ulikuwa unacheza 4 4 2 sasa cheza 3 4 4 mashambulizi zaidi lakini usitoke nje ya ndoa
 

pole sana dada kwa hilo naweza kukusaidia call me 0752600300
 
Usiwaze jitahidi kumwandaa mumeo vizuri na angalia wapi ulipunguza katika mapenzi
 

Au umeanza kunuka mdomo au kikwapa? sometimes vitu vidogo tu vinakimbiza, shostito hebu jichunguzege na ulimi nao uuchunge bidada may be ndio ulioponza kichwa
 
Ni wewe tu umeongezeka umbo au hata mumeo? Anafanya mazoezi?
 
ndoa ndoano, uliolewa kupigwa shekel tu au? Muulize mzee nini tatizo au wewe umeona kucheza mechi za nje ndiyo suluhisho?
 
Akapime kisukari BP na cholestral. Pia angalia msongo wa mawazo kabla kumfikria kuwa anatoka nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…