Habari wanajamvi,
Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.
Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:
1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi
2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.
Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu jamii formu kutafuta kurusha nae roho.
Naomba mnisadies what to do at the moment!
Mkuu, pole sana na matatizo hayo ktk ndoa yako ambayo mm nawezasema bado ni CHANGA!
Pili, kabla sijakushauri nn cha kufanya, mm nadhani ni vyema kwanza tukazungumzia mambo machache ambayo yaweza kuwa chanzo cha LOW PERFORMANCE muwapo kitandani, hasa kwa wanaume! Mkuu Ole, ili mume aweze kuumiliki vizuri mpira uwanjani, ni lazima kwanza asiwe na stress, hii itamfanya mawazo yake yote awapo sita kwa sita yabakie hapo hapo na asiwaze kingine!
Zipo tabia mbaya za wanawake wengi tu ambazo zimekuwa kero na kusababisha stress kwa wanaume! imeshuhudiwa mara nyingi kuwa ,wanawake soon baada ya kuolewa wamekuwa ni watu wa kuridhika saaaaana, matokeo yake wanajisahau kabisaaaa... utakuta mtu:_
1.Hajishughulishi tena awapo sita kwa sita na kumuachia mume jukumu lote!
2.hana uchangamfu wala utundu wa aina yoyote ile wa kulinogesha penzi na mahusiano kwa ujumla kama ilivyokuwa awali.
3.Hamthamini tena mume kama awali, sasa anamuona ni mtu wa kawaida tu na hata atokapo kazini hapokelewi wala kuchangamkiwa kama ilivyokuwa awali.
4.Kusikiliza zaidi ushauri wa mshoga zake mitaani bila kujali kuwa sasa yeye ni mke wa mtu na anatakiwa kushauriana zaidi na mumewe kwa manufaa ya familia yao.
5.kuamini kuwa mume ndo mwenye jukumu kwa asilimia zote za kumlea mke, familia na hata ndugu wa mke nao mme atalazimishwa awahudumie.
6.Mwisho, utakuta mke ndo anajinenepeeeeeea,anakosa hata ladha! kisa, hataki kufanya mazoezi eti yeye ni mke wa kiongozi kila aendako ni gari tu!
Cha kufanya:
Ninakushauri usijelogwa ukatoka nje ya ndoa yako utajikaanga mwenyewe! Bali jiulize umekosea wapi ili ujirekebihe, kisha mueleze pia mumeo kuwa siku hizi hakufikishi kule mwiho wa rami kunako utamu ulokufanya awaage baba na mama na kuhamia
kwake.
Wadau, mie huu ndo ushauri wangu!