Kusuka ya elfu tu shida.......huyo unaweza mwambia ishu za lace wig au hata kubond tu weave akakuelewa......?......pole mwanamke mwenzetu kwa kumeza kimeo.........
Kama hataki hivo na anamnunulie vifaa ajitengeneze mwenyewe nyumbani........akiwa ana vifaa vyake saloon watamsahau kabisa akikataa hili basi huyo baba ana lake jambo.....
Hilo janaume jinga, ila nywele za buku ni zipi hizo twende kilioni?
Habari wanaume mje mtujuze
Mume anapomzuia mkewe kwendakusuka au kutengeneza nywele kwa mafundi au saloon au kuja fundi au mtu wasaloon anamaasha nini ? Wakati anamuoa kamkuta na nywele safi za asili ghalama ya kusuka kwa wiki anaweza tumia 1000 au 2000some time mwanamke anajigharamia. Best yangu ana wakati mgumu wajuzi wa mambo wasomi wa mambo ya ndoa vitabu vya mungu vinasemaje?
Na huyu mwanaume anatatizo gani?
Karibuni nisiwachoshe
waume wa hivyo nuksi, utakuta anakibustan huko kimechachamalisha nywele kichwani kama nungunungu na analipia garama kila wiki...huyo mume mpuuzi tu,anabana bajet kwa mke ili akalipie upande mwingine
Hili nalo neno ila migogoro ya aina hii inahitaji hekima kuitatuaAcha nipite tu
Kwa hiyo saluni mke haendi, je mume anaenda au haendi????
nivizuri ukaenda kwenu ili upate muda mzuri wa kufanya hayo uyatakayo,umeolewa na ujue fika utakutana na changamoto mpya,sasa kuendelea kukari lifestyle ile ile utakuwa unajipa jaka moyo.