Mume anatafutwa - zawadi $64,000,000 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mume anatafutwa - zawadi $64,000,000

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MAMMAMIA, Sep 30, 2012.

 1. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,823
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Tajiri mmoja wa Hongkong ametangaza dau la dola milioni 64 kwa mwanamume atakayemuoa binti yake ambaye ni msa.gaji (lesbian) Utajitolea?

  Kwa habari zaidi: Bonyeza kizenji hapa
   
 2. W

  Wajad JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 873
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 60
  Hii mbona poa tu! Hata akija na huyo anayemsaga, tunakuwa watatu kitandani. Wakianzana wenyewe mi nawamalizia.
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,103
  Likes Received: 3,867
  Trophy Points: 280
  Boflo alishamchukua.
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,397
  Likes Received: 1,136
  Trophy Points: 280
  naona huyo Mchina hela zinamuwasha....
   
 5. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,823
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Wewe mkali Mkuu!

  Alaaaa, kumbe Boflo ndio zake hizo!! Ikwa bado anayo nafasi kubwa.

  Na wajanja wananendelea kuchangamkia tenda. Tangu huyu baba kutangaza juzi tayari wameshajitokeza "wakwe" watarajiwa zaidi ya 3,000 lakini gays ndio wenye nafasi ya kukamata mafweza.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...