Ni kweli ndoa iko moyoni kama ukirudhika kuwa ni sawa mume wako kutokuvaa pete.
Mimi ya kwangu ilipotea katika mazingira ya kutatanisha na kiukweli nilikuwa sijisikii poa kuivaa. Wife kasema kachoka na anajua nilivyo mwaminifu now katulia. Ninaamini ndoa ni maridhiano na uaminifu haujengwi kwa uwepo wa pete. Kibaya zaidi siku hizi uvae ama usivae majaribu yatakufika tu kikubwa ni kujitambua na kuchukua nafasi yako ipasavyoSiku ya harusi pete zenu zilibarikiwa na mlivalishana. Kamati ya harusi iliandaa usiku mmoja Kempinski kabla hamjasafiri kwenda Serengeti kwa honey moon.
Mmetoka tu reception bwana harusi anapovua suit yake anavua na pete na anakwambia kabisa hawezi kuvaa pete maishani mwake lakini anaahidi kuwa mume bora.
Pamoja na kuwa havai pete, face book profile yake ameweka picha yenu ya harusi na status amechange kuwa married.
Hii imekaaje na wewe utaichukuliaje?
Kawaida tu, mimi bibie alikuwa anamind mwanzoni baadaye akanizoea.Siku ya harusi pete zenu zilibarikiwa na mlivalishana. Kamati ya harusi iliandaa usiku mmoja Kempinski kabla hamjasafiri kwenda Serengeti kwa honey moon.
Mmetoka tu reception bwana harusi anapovua suit yake anavua na pete na anakwambia kabisa hawezi kuvaa pete maishani mwake lakini anaahidi kuwa mume bora.
Pamoja na kuwa havai pete, face book profile yake ameweka picha yenu ya harusi na status amechange kuwa married.
Hii imekaaje na wewe utaichukuliaje?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa hata mwonekano wangu si unaonesha tu. Kwa umri nilionao mtu anajua tu kuwa nina familia.Utambulisho kuwa kuna anaekumiliki
Ndoa inafungwa rohoni na sio Pete hata uvae vidole vyote ikiwa rohoni husadifu na kukubaliana nahali kuwa umeowa haisaidii kitu. Na kwa taarifa yko utafiti unaonyesha wanandoa ndo wanaongoza kwa maambukizi ya virus vya ukimwiSiku ya harusi pete zenu zilibarikiwa na mlivalishana. Kamati ya harusi iliandaa usiku mmoja Kempinski kabla hamjasafiri kwenda Serengeti kwa honey moon.
Mmetoka tu reception bwana harusi anapovua suit yake anavua na pete na anakwambia kabisa hawezi kuvaa pete maishani mwake lakini anaahidi kuwa mume bora.
Pamoja na kuwa havai pete, face book profile yake ameweka picha yenu ya harusi na status amechange kuwa married.
Hii imekaaje na wewe utaichukuliaje?
Hapana sister, kuna dini nyingine kama wasabato hawavai Pete.Kwenye jamii yetu ya sasa ukiwa huna Pete inamaana bado uko available. Sasa Munro kuonyesha kuwa yuko availabe ni kasheshe
pete ina faida hasa kwenuMimi naona pete ndio zinaongoza kuletea wake zao wanaovaa matatizo na vitimbi. Bora hasivae tu aonekane kama vile hana msimamo wa nyapuz hata kama ameoa..
Pete muhimu tena lazima mvae kwenye shughuli za maana mkiwa pamoja, au mmoja wenu atakapoona itafaaa.. hapo kuna mengi.
Mwisho wa siku pete haibebi kuonyesha ya kiukweli ya wanandoa.. pambo tu.. muhimu ni ya mioyoni mwenu.
Unazunguka sana dia Mme ambae hataki kuvaa Pete, tiyari ana mke mwingine mafichoni na hataki kumweleza ukweli. Basi anajifanya kuwa husband material, kumbe ma.la.ya tuKusema ukweli he is a husband material na amebeba majukumu yake yote, mke akiridjia hakuta kuwa na neno na pete yake ameihifadhi