Hana allergie yeyote anasema hapendi tu vidole yake kuvaa kitu chochote na wewe ukipenda vua tu pete yakoWawili walio mwili mmoja wanapaswa kukaa chini na kujadiliana kwa busara. Kwa mfano, kuna watu wana mzio na madini aina fulanifulani.
Binadamu tunatofautiana katika kuwa na upenzi wa vitu, sehemu au maono. Mambo haya hutokana na aidha malezi au asili nk. Mimi naamini ndoa huanzia katika nyoyo za wawili wapendanao.Hana allergie yeyote anasema hapendi tu vidole yake kuvaa kitu chochote na wewe ukipenda vua tu pete yako
Kusema ukweli he is a husband material na amebeba majukumu yake yote, mke akiridjia hakuta kuwa na neno na pete yake ameihifadhiMimi naona pete ndio zinaongoza kuletea wake zao wanaovaa matatizo na vitimbi. Bora hasivae tu aonekane kama vile hana msimamo wa nyapuz hata kama ameoa..
Pete muhimu tena lazima mvae kwenye shughuli za maana mkiwa pamoja, au mmoja wenu atakapoona itafaaa.. hapo kuna mengi.
Mwisho wa siku pete haibebi kuonyesha ya kiukweli ya wanandoa.. pambo tu.. muhimu ni ya mioyoni mwenu.
Ni kweli ndoa iko moyoni kama ukirudhika kuwa ni sawa mume wako kutokuvaa pete.Binadamu tunatofautiana katika kuwa na upenzi wa vitu, sehemu au maono. Mambo haya hutokana na aidha malezi au asili nk. Mimi naamini ndoa huanzia katika nyoyo za wawili wapendanao.
Hivyo basi, yanayofuata kuanzia mavazi, malazi na yote yafuatayo ni nyongeza tu. Huyo ambaye hapendi kuvaa pete, anao upendo kwa mwenzi wake? Haigizi ndoa? Kama hayo yapo jumlisha uaminifu wa kweli, wanandoa muishi kwa amani.
Kuna watu tumeumbwa na kuzoea kutojitwisha mavazi au vito vingi mwilini. Zamani hizo, kijijini kwetu mtu akionekana amevaa mipete na mikufu mingi tulimtafsiri kuwa aidha ni mchawi au anajihusisha na uchawi. Lakini leo, maisha yamebadilika na hata uelewa na mtizamo umebadilika.Kusema ukweli he is a husband material na amebeba majukumu yake yote, mke akiridjia hakuta kuwa na neno na pete yake ameihifadhi
Kwenye jamii yetu ya sasa ukiwa huna Pete inamaana bado uko available. Sasa Munro kuonyesha kuwa yuko availabe ni kashesheKuna watu tumeumbwa na kuzoea kutojitwisha mavazi au vito vingi mwilini. Zamani hizo, kijijini kwetu mtu akionekana amevaa mipete na mikufu mingi tulimtafsiri kuwa aidha ni mchawi au anajihusisha na uchawi. Lakini leo, maisha yamebadilika na hata uelewa na mtizamo umebadilika.
Muonekano wa mtu isiwe kigezo cha kumuweka kundi fulani kwa kumdhania tu. Ni vema watu wakawa na ukweli kuhusu mtu. Na huyo mwanandoa, ni heshima na kujitambua ndivyo vitaiacha ndoa salama. Mengineyo ni puruzai tu mbele ya uoni wa wanajamii.Kwenye jamii yetu ya sasa ukiwa huna Pete inamaana bado uko available. Sasa Munro kuonyesha kuwa yuko availabe ni kasheshe
Changamoto io... Ila nanyi mpo wa ivoSiku ya harusi pete zetu zilibarikiwa na mlivalishana. Kamati ya harusi iliandaa usiku mmoja Kempinski kabla hamjasafiri kwenda Serengeti kwa honey moon.
Mmetoka tu reception bwana harusi anapovua suit yake anavua na pete na anakwambia kabisa hawezi kuvaa pete maishani mwake lakini anaahidi kuwa mume bora.
Pamoja na kuwa havai pete, face book profile yake ameweka picha yenu ya harusi na status amechange kuwa married.
Hii imekaaje na wewe utaichukuliaje?
Wawili walio mwili mmoja wanapaswa kukaa chini na kujadiliana kwa busara. Kwa mfano, kuna watu wana mzio na madini aina fulanifulani.
Hapo inategemea nia ya kufanya hivyo ni ipi kama anafanya hivyo ili kucheat hapo ni shida kama hacheat hakuna shida maana kunawanaovaa pete usiku na mchana na wanacheat usiku na mchana na kuna watu hawana pete na hawacheat. Bora wepi kati ya makundi hayo mawili?Siku ya harusi pete zetu zilibarikiwa na mlivalishana. Kamati ya harusi iliandaa usiku mmoja Kempinski kabla hamjasafiri kwenda Serengeti kwa honey moon.
Mmetoka tu reception bwana harusi anapovua suit yake anavua na pete na anakwambia kabisa hawezi kuvaa pete maishani mwake lakini anaahidi kuwa mume bora.
Pamoja na kuwa havai pete, face book profile yake ameweka picha yenu ya harusi na status amechange kuwa married.
Hii imekaaje na wewe utaichukuliaje?