Mume amenitenda

laana ya sembe, hiyo zali ilitokana na nini hadi milioni kadhaa.
 

Pata pesa umjue mumeo, Filisika umjue mkeo!
 

Sisi ni wakulima
 
mwaka jana tumepata zali la mil.30,tumenunua gari na kujenga nyumba nzuri

Mmmh!!

Mnaishi katika nchi ya kusadikika ama?? with that much budget hiyo nyumba nzuri waitabanaisha inawezekana kweli?
 

Pole shosti. Huyu mume naamini atakuwa na ugonjwa wa akili pamoja na huyo mlaanika mwenzake huyo dadake. Unapaswa kuthubutu kuachana na habari ya cheti, hiko cheti cha ndoa si mume. Kwanza mchukulie sheria upate haki yako, halafu ondoka kaanze upya maisha yako. Nasema uondoke kwa sababu huo ugonjwa wake wa akili ni wa kujitakia mwenyewe na laana zake. Kimbia hapakufai hapo.
 
eeeeeh! Hii kesi nzito. Kweli "mwanaume apate pesa ujue tabia yake." Kwanza kabisa jiweke mbali na kushrk nae tendo la ndoa ikilazmu tumia mpira.. Kabla sjaharbu as spo kwenye ndoa snowhite busara zako tafadhali znahtajika.
snowhite is no longer a bright gal my dear,until further notice
ngoja nikuitie Eiyer
 
Last edited by a moderator:
kumkimbia si suluhisho, pambana hata kama mtafika kunako Court, isitoshe anatoka na dadaye ukiwa na ushahidi wa kushawishi vyombo vya dola mbona watakiona cha MTEMAKUNI. kwa uwezo wake Muumba atakusaidia tu bi-dada.

Asante sana kwa kunipa moyo,Mungu akukumbuke ktk mahitaji yako
 
Pole sana! Hilo zali mlilopata lilikuwa la haki kweli! Isije kuwa chanzo cha tabia zake ni zali la mil 30! Anyway, endelea kumwombea!
 
aaaaah bana hii si ndo style ya mujhini shosti??
kipi cha ajabu kwako hapo??
unatofautiana nn na huyu dadake shemeji yetu??
yule boss si huwa analala kwako na siku atakazochagua well utakazoamua ndo analala kwa mkewe?
AU?
NAULIZA TU!
 
hehehe, haya bwana, lakini sio wote wanafanya hayo mabadiliko, mabadiliko ni kutokujitambua kwa mtu tu.

In other words, Pesa kipimo cha mume, Umasikini kipimo cha mke....ni kweli sio wote but majority though i cannot tell excactly ni silimia ngapi.... Kwa hakika ukitaka kujua rangi halisi za mwenzio ni katika utajiri/umaskini!
 
milioni 30 tu.......au ndiyo masharti ya witch doctor kuhusu upatikanaji wa hiyo 30mil???

Siyo witchdoctor,kuna business tulifanya na mume wangu Mungu akatuona na akatukubalia tupate hiyo mil.30
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…