Mume Afumaniwa live!!!!!! Mchana kweupeeeeeee

Mume Afumaniwa live!!!!!! Mchana kweupeeeeeee

Hapo umepiga mzigo kujisachi mawe hamna.Wee utajuta kumjua manake anakuwa kama kapagawa wakati raha tumepeana wote na milio wa raha alikuwa anatoa pambaf
 
huyu kaka ni actor wa kinigeria na hii ni ya filamu komedi. huyu alikuwa ni mdada anatoka nae kama g na b. basi akataka nadhani kuachana nae na ndio akamfuata barabarani alipokuwa anakimbia kazi ya chumbani mdada alikuwa anataka kila wakati. kitu kama mdada alikuwa muuzaji akaanza kutulia nae basi weeeee.....

Sasa mbona mtoa mada anaandika as if anajua au ameona move.. ”shigongo kazini”
 
Back
Top Bottom