Multiple selection second round

Iv wadau kuna mtu anayemjua raia yeyote aliyepata division II au ana GPA chini ya 4.0 na amechaguliwa udom mzumbe sua ifm au udsm.

Mimi ninaona rai wawili nawajua mmoja anayo division . 7 PCB huku huku JF amekosa chuo hadi sasa. Kuna mwingine CBG anayo division. 9

Kuna raia kibao wanazo GPA za kuanzia 4.0 hadi 4.7 na wametemwa round zote.

Kama unajua mtu ambaye hana izo sifa ainishwa hapo juu na amepata chuo tujuze tujue kama ni Bahati inawabeba watu au nini

Asante
 
Basi ni jambo jema kama vyuo hivyoo kuruhusu round ya tatu .
But kwa Mzumbe Bado .
 
Mwanangu ana GPA ya 4.3 na badoo amekosa chuo nasubiri majibu ya Mzumbe nijiwe hatima yake
 
selection za mwaka huu, tutakuwa tunasimulia maana pasua kichwa mwaka jana mambo hayakuwa na mkanganyiko kama mwaka huu..ila kila kitu kina mwanzo na mwisho hili nalo litapita maisha yataendelea.
 
Msaada mkuu
Utaratbu wakuconfirm si tcu wanatakiwa kutuma code? Vp mbona kuna watu hawajatumiwa?
Kwa mfano ninadogo amechaguliwa vyuo vi3 ila hajatumiwa confirmation code na akipga simu chuo anachotaka kuconfirm (NIT) hawapokei
 
Vyuo wametoa namba maalum ya wanaotaka ku confirm labda anapiga namba ya general ambazo ziko busy sana.
 
Jaribu kiwapigia simu hii Tel: +255-22-2400148
 
Wakuu Sua watatoa lini majina ya waliochaguliwa awamu ya Pili, au kama kuna mwenye mawasiliano yao nayaomba
 
wale wa mzumbe majibu tayari ingieni katika account zenu (sec round)
 
Nimechaguliwa vyuo viwili na kwenye multiple selection sipo na sijakomfirm nifanyeje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…