Sawa inawezekana leo taarifa ni invalidYaani wewe unang'ang'ania nimewasiliana nao..nimewasiliana nao...hakuna anayekutaa kuwa hujawasiliana nao nachokwambia taarifa zako zilikuwa valid kipind ambacho unawasiliana nao but kwa sasa ni invalid ndo mana nakwambia usitoe taarifa ambazo ni invalid ulitakiwa uzitoe kipendi wawasiliana nao...kama taarifa zako ni valid how comes chuo ambacho hakijamaliza selection kionekane kwenye majina ya multiple wa second round??
Ok...ngoja nikujibu kama ifuatavyo...nilimaliza chuo mwaka 2015...sio kila unayemuona humu nayeye ka apply wengine tunawadogo zetu waliofanya application etc etcsamahani kama hutojali naomba nikuulize swali...
1-uli-apply chuo chochote !?
2-kama uli-apply umechaguliwa chuo chochote !?
Ok nimekupataOk...ngoja nikujibu kama ifuatavyo...nilimaliza chuo mwaka 2015...sio kila unayemuona humu nayeye ka apply wengine tunawadogo zetu waliofanya application etc etc
Ngoja nikusaidie ndugu kiufupi ni kwamba vyuo vyote wamechelewesha majina kuyapeleka au kuwasilisha TCU majina yaliyowasilishwa ndio Yale yaliyotangazwa juzi pia ndio maana vyuo vinaendelea kufanya mchakato wa kuwajibu katika account zao maana majina ni mengi na muda ulikuwa mchache sasa ndio maana TCU wanafuata ratiba yao that's why walichelewesha badala ya 22 wakatoa tar 24Ok...ngoja nikujibu kama ifuatavyo...nilimaliza chuo mwaka 2015...sio kila unayemuona humu nayeye ka apply wengine tunawadogo zetu waliofanya application etc etc
sure???mimi43hakuna tatizo kwa sababu niliongea na udom ns udsm wakasema bado hawajamaliza kufanya selection so tusubiri
Tembelea website ya TCU wametoa majina ambao walichagulia awamu ya kwanza but hawajacomfrm then utajuwa kama upo au haupo alafu utawasiliana na chuo husikaTjaman mm nlichelew kuconfirm nlikua kijjin ckupata taarifa mapema nafanyajeee?
Bado Mzumbe sasasua imepost majina
Bado na udomBado Mzumbe sasa
BadoUdom tayar?