Karibu account zote naona status haijabadiika na hakuna mabadiliko yoyote mpaka sasamkuu nimekupata vyema sana ila wewe hujanielewa padogo sana
ukiingia ww.tcu.com utakuta updates tofauti tofauti ila update ya pili ni about selected students (waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja). Ukiisha kubofya hiyo update itafunguka na kuja page moja tu
Hiyo page itakayokuja inamaelezo ambayo utatakiwa kuyasoma vizuri. Vilevile hiyo page ina sehemu mbili zililo-be-highlighted in blue color,
Utafungua link ya kwanza ambayo ni majina ya waliochaguliwa katika round ya pili ya udahili then utaweza kutafuta jina lako, kama utakuwa umechaguliwa utaliona
Alternative rahisi mbali na hiyo ni kuingia katika account zako kayika vyuo ulivoapply uchek status ikoje
Sasa mkuu mbona wanasema mwisho kuapply third round ni Leo inakuaje sasa na majina mengine bado hayajatokausiwe na shaka kwa sababu nimesikia vyuo havijatuma majina yote TCU so tusubiri vyuo vitoe majina
Huu unaofanya ni uongo na upotoshaji...kama hawajamaliza selection imekuwaje kwenye second round multiple selection iliyotolewa na tcu kuwepo na wanafunzi wanaooneka wamedahiliwa na udom na udsmhakuna tatizo kwa sababu niliongea na udom ns udsm wakasema bado hawajamaliza kufanya selection so tusubiri
wewe ndo unasema upotoshaji but mimi niliwa-email udsm wakarepl ..angalia tarehe na muda walioreply alafu kaangalie second roumd majina yalipostiwa saa ngapi !?Huu unaofanya ni uongo na upotoshaji...kama hawajamaliza selection imekuwaje kwenye second round multiple selection iliyotolewa na tcu kuwepo na wanafunzi wanaooneka wamedahiliwa na udom na udsm
Mkuu sijakuelewa sasa wanasema hawajamlza kufanya selection hayo majina ya tcu wameyatoa wapi je hao wakifanyiwa selection wanajuaje kama hawachaguliwa vyuo vingine?ili wawe kwenye multiple naomba ufafanuzi wakohakuna tatizo kwa sababu niliongea na udom ns udsm wakasema bado hawajamaliza kufanya selection so tusubiri
kunaye jamaa angu kachaguliwa vyuo vitatu lakina jina lake halipo kwenyw multiple selectedMkuu sijakuelewa sasa wanasema hawajamlza kufanya selection hayo majina ya tcu wameyatoa wapi je hao wakifanyiwa selection wanajuaje kama hawachaguliwa vyuo vingine?ili wawe kwenye multiple naomba ufafanuzi wako
Umejuaje kuwa kachaguliwa vyuo vitatu mkuukunaye jamaa angu kachaguliwa vyuo vitatu lakina jina lake halipo kwenyw multiple selected
Tutajie hivyo vyuo mkuu kama hutojali.nimeona kwenye account zake
IFM, Ushirika moshi (MUCOBS), TIA-dsm campum.... anasubiri mzumbe tu...juzi jumatatu aliwapigia mzumbe wakamwambia hawajamaliza kufanya selection so asubiri SHOOyaKIBABETutajie hivyo vyuo mkuu kama hutojali.