Haya hapa View attachment List_of_New_Multiple_Admissions_Second_Round.pdfNi vema utwekee hapa chief if possible
Naomba kuulza je n hayo yalotolewa na tcu kwamba n multiple au vyuo vinatoaleo majina yametoka kwa walioapply second round.
Third round imeanza lep tarehe 24 hadi 26.
Angalie ujue una confirm au ni third round.
Majina ya second round walio Pata mbona cjaona msaadani multiple Olg
Msaada mkuu ktk link ipiyapo pale we fungua hiyo update inayoonesha second round then isome utaelewa.
kuna maandishi wameya-highlite kwa rangu ya blue utafungua hapo then utaweza kuyaona
niliomba second round maana first nilikosa mkuu sasa nimesaka siyaoni yako hayo ya multiple tuuutakuta link ziko mbili ambazo zote zinajieleza ..ambazo ni
1-hii link ni kwa wale waliochaguliwa second round (multiple)
2-hii ni kwa wale waliochaguliwa first round ila hawaja confirm
Rudi kwenye kila chuo ulichooma weka user name yako na passwordniliomba second round maana first nilikosa mkuu sasa nimesaka siyaoni yako hayo ya multiple tuu
IpoNa vipi kuhusu single selection kwa second round au amna
mkuu nimekupata vyema sana ila wewe hujanielewa padogo sananiliomba second round maana first nilikosa mkuu sasa nimesaka siyaoni yako hayo ya multiple tuu
Rudi kwenye kila chuo ulichooma weka user name yako na password
Sawa mkuu maana third round mwisho ni kesho wangetoa mapamausiwe na shaka kwa sababu nimesikia vyuo havijatuma majina yote TCU so tusubiri vyuo vitoe majina
Bado awajatoa majibu aisee wanasema tu your apllication receved sucesfullsingle selection ingia kwenye vyuo ulivoappy