Nyani Ngwengwe
Senior Member
- Dec 13, 2017
- 117
- 178
Habari Wana Jamvi 🙏
Sisi Vijana wa Kitanzania,Katika Harakati za kupambania ndoto zetu na kuyatafuta maisha Bora lakini pia kufungua Fursa kwa wengine tumefanikiwa kuanzisha Ofisi Yetu inayoshughulika na Shughuli zifuatazo:
1. Usambazaji wa Vibarua ktk Shughuli mbalimbali (hususan Ujenzi wa Majengo makubwa)
2. Wafanya kazi wa Usafi na Mazingira kwa Maeneo ya Kazi, Nyumbani na Ofisini.
3. Huduma ya Kuhamisha Vyombo, Mizigo na Mali mbalimbali kwa wale wanaohama kutoka eneo moja kwenda lingine.
Kwa sasa Ofisi ipo Dar es salaam,eneo la Gongo la mboto.
Tuna wakaribisha Watanzania wenzetu wenye tenda mbalimbali zinazoendana na shughuli zetu,tuko tayari kuwahudumia.
BRIFA EMPIRE (T) LTD
Instagram: @brifapoint
Facebook: @brifa