Mukazi Wange Search: Yametimiahaya hapa matokeo kamili

wanaume 9 waliojifanya wanawake inamaana walitaka ndoa ya jinsia moja?........lakini hapa kuna maneno haya........''.waliofuatilia thread ya msingi wanajua sababu'',kwa vile .......sijafuatlia busara ni kuuchuna tu.
 
hao 9 wanaume walioapply walitaka ndoa ya jinsia moja? kuna maneno........'' waliofuatilia thread wanajua sababu.....aaaaaah ,mimi sijafuatilia bora niuchune.
 
hapana........... hawakutaka ndoa ya jinsia moja................ lwalijifanya wanawake wakaniPM kutaka tu ku-njoy mawasiliano na mimi.............nadhani ilikuwa kwa kujifurahisha tu...............wanaonekana waliamini kuwa nafanya mzaha hivyo nao akaamua kuleta mzaha...........
 
mkuu, zile banki zimeishakuwa historia........... binti mzuri kama huyu nimpoteze shauri ya bangi??????????/............ hata siku moja mkuu nimeishachange..........

mkuu babu kwa heshima ya mchumba wangu naomba isamehe........... truly unconditionally............

asante shem.......... nimeishachange mbona? tena sfari hii nimebadilika peranently...........

mkuu tunaomba pia utuombee wewe na familia yako yote tufikie malengo yetu as soon as possible...............

wala hakuna shaka mkuu, tumependana haswaaaaaaaaa............... unajua wengine wanadhani tunafanya mzaha......... time will tell............... God has endorsed our plan.............
i hope mtanialika,will be there for real,ingawa ni hatua.
 
kwenye kubadirika ndio issue!!! bibie ajitayarishe kama kuna mambo ya kubadirishwa kuna uwezekano yakabaki vivyo hivyo.
Haya sisi tunawatakia maisha mema, ila KUBADIRIKA MMMMMHHHH!!!
 
Akili na Pearl sasa nyie mnaanza ku date au ndio Ndoa... nijulisheni manake nianze kutafute nguo ya kuvaa harusini...
 
kwenye kubadirika ndio issue!!! bibie ajitayarishe kama kuna mambo ya kubadirishwa kuna uwezekano yakabaki vivyo hivyo.
Haya sisi tunawatakia maisha mema, ila KUBADIRIKA MMMMMHHHH!!!

mpendwa usihofu, hilo la kubadilika tayari limetimia.......... hutaona tena yale maneno usiyopenda.........

Akili na Pearl sasa nyie mnaanza ku date au ndio Ndoa... nijulisheni manake nianze kutafute nguo ya kuvaa harusini...

hili swali nitalijibu kwa sehemu na sehemu nyingine atajibu barafu wa moyo wangu..............

mimi naandaa ndoa, japo kama unavyojua ni hatua ka hatua........ we andaa kabisa nguo na uitunze vizuri usije ukaivaa kwenye harusi ya wengine, nadhani hii itakufanya uzidishe kutuombea ili mipango iende vizuri na kwa haraka
 
sure mkuu, huwezi kusahaulika.............. wewe tena!!!!! you played a very important role in this new achievement...................
Na mimi usinisahau mkuu. Katika shortlist yako naamini kuna aliyekamata namba mbili. Hebu do the needful uni PM jina lake na wasifu wake. Unaweza kupata bestman na matron toka humuhumu JF.
 
Na mimi usinisahau mkuu. Katika shortlist yako naamini kuna aliyekamata namba mbili. Hebu do the needful uni PM jina lake na wasifu wake. Unaweza kupata bestman na matron toka humuhumu JF.

hahahaaa................ very funy........
 
Hongereni nyote na zaidi nashukuru kuwa mmetimiza sharti la kwanza la Mungu katika maisha yetu; yaani Mmesameheana! Huo ndio ushuhuda mzuri kwangu!

Kudos JF!
 
Eeh kumbe nimepitwa na mengi... kweli yametimia! Hongereni sana

Annina
 
Du na mimi itabidi nitangaze ndoa na mtu humu JF, naweza kubabatiza wale waliosalia kama bado wapo!.
 
Back
Top Bottom