Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
boya hilo.
Sijaelewa! wanashangilia kushindwa au kushinda!. pamoja na nguvu na pesa zote walizotumia hawana aibu kupata kura chache hivyo ukilinganisha na miaka iliyopita!. na hizo pesa walizotumia huko wanatarajia kupata ngapi baada ya kupata huo ubunge. kama kweli CCM imeshinda basi wanaigunga mjiandae kunyonywa tena. na mi nawaomba muwe makini kwa kipindi kilichobaki, 2015 si mbali, mje muwaulize tena wamewafanyia nini huko Igunga. CDM hongera sana kwenu nyinyi kupata kura nyingi hivyo kwa kipindi kifupi ni ushindi mkubwa sana kwenu, mmeonyesha ukomavu mkubwa sana kwenye siasa ya TZ, kazeni buti ni wazi kabisa 2015 nyota ni yenu.
We nini huo moto utakuunguza mwenyewe,kaa chonjo!!!!!!!!!!!!!!leo cdm hawana hata nguvu za kushika keyboard
Jey Key huyo jamaa aliyevaa Shati la mistari pembeni ya Mukama ni nani?