Mukama akishangilia USHINDI WA IGUNGA

Mukama akishangilia USHINDI WA IGUNGA

odoeni udini kwenye chama chenu
hakuna mbunge hata mmoja wala kiongozi wa juu mwenye dini nyingine

Unaongelea chama kipi?
CUF-mrs-CCM au CDM?
Kama ni CDM Zitto ni nani ndani ya CDM na ni Dini gani? Au ndo kusema unatumia kinyeo aka masaburi kufikiria?
Nyambaaaaf!
 
Mbona wameshangilia sana kuliko hata ilivyokuwa uchaguzi mkuu? Furaha hii siyo bure, hawakuamini kama watashinda!
 
Aliniudhi Doki anayejifanya mlokole nilimuona Sibuka TV akikata viuno kama Changu, Ningekuwa askofu wa kanisa lake ningemtenga na kanisa, Ametia aibu
 
Hivi ni kweli walioshindwa Igunga hawakutumia fedha? hebu tupunguze msukumo wa kiitikadi .... ile Midege isiyo na matairi haikuwa Gharama? kuwasafirisha wahamasisashaji katika kila chama haikuwa gharama?
 
Wanafurahia kuendeleza ufisadi, mijizi tu hiyo, huyo wa swanga nasikia ni jambazi na sasa anajihifadhi ccm. halafu watu walili kwenye kundi ni CDM maana wameshindwa kuweka dole kama magamba
 
ig3.jpg
na huu mkono wenye kucha za rangi nyekundu ni wa nani tena...? maana huyo m-mama hapo haendani na huo mkono eti, nisaidieni wadau au umechakachuliwa kama ilivyo ada kwa wana-magamba...????
 
Back
Top Bottom