Labda mkutano wa mijamaa wezi wa Mali za ummaKatibu mkuu wa CCM yupo Afrika kusini kuhudhuria mkutano wa vyama vya siasa vinavyofuata siasa za mrengo wa kijamaa , unaofanyika katika jiji la Capetown.
Chanzo: Uhuru
Labda mkutano wa mijamaa wezi wa Mali za umma
wewe utakuwa CHIKAWE nini kwa kutetea mafisadi ni balaamkuu una ushaidi ama unaropoka tu
wewe utakuwa CHIKAWE nini kwa kutetea mafisadi ni balaa
Nape anauita Ujamaa wa kiafrika, sijui ndio mdudu gani huyo.
mkuu una ushaidi ama unaropoka tu