Muite girlfriend wako majina romantic

Mahusiano wakati mwingine huwa yananogeshwa na vitu vidogo jamani msi complicate sana. Kwa mfano una girlfriend alafu eti hata hujawahi kumuita "baby". Wewe kila siku unamwita kwa jina lake mara Aisha, Zuhura, Catherine, Khdija.

Utafiti unaonesha kumuita mpenzi wako "baby"ni njia mojawapo ya kumfanya apunguze stress (hasa kwa wanawake). Halafu eti hata wakati mwingine MTU akiwa na washkaji zake anavyowasimulia kuhusu mpenziwe anatumia neno "demu"

Hebu mjifunze kuwa romantic jamani
mchawi ela
 
Wangu ananiita "baby baby" mie namuita "dimple baby" ana dimples amazing tho hazipendi kwasababu ni mwanaume ila napenda kumtania dimple zake 😂. Mapenzi raha jaman mpaka uachwe ndo utaelewa rangi zote
 
Ilove you my NEC (tume ya uchaguzi)

Sababu ya kumuita:amenipitisha bila kupigwa
 
Wangu ananiita "baby baby" mie namuita "dimple baby" ana dimples amazing tho hazipendi kwasababu ni mwanaume ila napenda kumtania dimple zake . Mapenzi raha jaman mpaka uachwe ndo utaelewa rangi zote
Ukiachwa unakunywa maji ya betri kama vipi, lose lose situation inahusika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom