Muite girlfriend wako majina romantic

Kitu nachokipenda kutoka kwa mwenzangu na nina kifurahia kwa kweli na naona ananiheshimu ni anavyoniita daddy...
Kuna wengine hawataki... Nilimuitaga daddy akasema subiri mpaka nikikuzalisha mtoto πŸ˜€

Mostly anapendelea sweetheart, mpenzi wangu, depal wangu. πŸ˜‰
 
I calls her Babe or Babymama and she calls me Babe or Babydady,

Siku akiniita jina langu najua kimenuka fasta naanza kuwaza kama zile sms nilifuta, calls history niliclear kila kitu kikiwa sawa naitikia kwa bashasha zote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe una sms zenye utata eeh? Ngoja
 
Hahaha nimecheka kwa sauti.

Kumbe tuko wengi tunaopendwa kuitwa mama 😚 "mama angu" nasikiaga raha akiwa ananiita hivyo.
 
Nilikuwa na BF huyo mkiongea kwa simu ni lazima aanze na "wife" kila simu ni "hello wife" bla bla hapo kati then ok wife take care "... Nilikuwa nachukia mwanzo mwanzo hizo wife zake mpaka nikaja kuzoea baadaye.
 
Nilikuwa na BF huyo mkiongea kwa simu ni lazima aanze na "wife" kila simu ni "hello wife" bla bla hapo kati then ok wife take care "... Nilikuwa nachukia mwanzo mwanzo hizo wife zake mpaka nikaja kuzoea baadaye.
Mnaendeleaje saivi wife ake mtuπŸ˜›
 

Na hamtoachana kamwe [emoji16] mnapendezeana
 
Mwingine tulikua tunaitana baba chanja/mama chanja ila tuliachana, hadi saivi tukiwasiliana tunaitana hivyo.
 
Hakuna Cha baby wala nini we muite Kama ni mbute au mchembe life lisonge mengine Ni mbwembwe tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…