Muite girlfriend wako majina romantic

Kuna idioms (nahau/misemo) hazina tafsiri ya moja kwa moja kwa sababu ya muktadha na mazingira tofauti ya kitamaduni kutoka huko zilikotoka. Ukijaribu kuzitafsiri moja kwa moja unaharibu na unaweza kugeuka Google translator.

My smart ass pengine tunaweza kusema "mjanja wangu, jiniazi wangu, mweledi wangu, kipanga wangu, kichaa wangu...."
 
Ni sawa na mtu kukuambia you're badass..hapo anaweza kuwa kamaanisha wewe ni mkali(mzuri) kwenye ishu fulani
 
Hakuna moment napenda kama upo umejichokea zako na majukumu ya siku then inaingia sms au call kutoka kwa mpenzi wako inasema au anaanza kwa kusema β€œmume, hny, mpenzi, hubby akitaja na jina lako walahi unajikuta unatabasam.

Ila upande wa pili sasa ni TFI1342 IMETHIBITISHWA Umepokea Tsh 7800 kutoka kwa .....
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kah kweli tunatofautiana... Daddy ina means alot kwa mwanamke anae muita mpenzi wake hivyo, hata kwa mwanaume ukiona mwanamke wako anakuita daddy inaleta faraja
Kwa wengine huko hii ina sexual connotations. Inamaanisha kwamba unamridhisha sawa sawa sexually na atakuita hivyo wakati unampelekea moto...na hawezi kukuita hadharani mbele ya watu...

Daddy....

Dad...
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kah kweli tunatofautiana... Daddy ina means alot kwa mwanamke anae muita mpenzi wake hivyo, hata kwa mwanaume ukiona mwanamke wako anakuita daddy inaleta faraja
Na kweli ila hajui tu jinsi gani naenjoy kumuita hivyo na ninamuona wa thamani kiasi gani kumuita ivyo...
 
Mie na boyfriend wangu tunaitana 'smart ass'

Na tuko romantic kinyama
Dea huwa unakula ya Chuga au Malawi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 

[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Siku ukasahau ukamuita smart ass mbele ya wazazi wenu [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Na kweli ila hajui tu jinsi gani naenjoy kumuita hivyo na ninamuona wa thamani kiasi gani kumuita ivyo...
I mean kila jina unalompa mwenzi wako lazima liwe na maana huwezi kumuita kitungu maji pasipo kuwa na maana.. Cha msingi awe analifurahia tu
 
I calls her Babe or Babymama and she calls me Babe or Babydady,

Siku akiniita jina langu najua kimenuka fasta naanza kuwaza kama zile sms nilifuta, calls history niliclear kila kitu kikiwa sawa naitikia kwa bashasha zote.
 
Hakuna moment napenda kama nimepigiwa simu napokea 'haloo beeeib', naskia 'Carleen, mama angu'...! Naitika 'beeeeh' (kwa kudeka), naambiwa 'hujambo mama'...!?

Huwa natamani nibandike hiyo convo kwenye nguzo za umeme barabarani..!! πŸ˜…

NB; tukiachana nitawaletea tena siredi.!!
 

Yaaas sir!ndio nilikuwa najaribu kuelezea hapo juu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…