Muislamu akifa kwenye Jihad ni furaha kwake

Muislamu akifa kwenye Jihad ni furaha kwake

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
8,476
Reaction score
12,666
Muislamu akifa kwenye Jihad ni furaha kwake

Mtu anayekufa katika njia ya Allah huitwa shahidi (shahid). Katika Qur'an kuna aya inayosema:
“Wala msiwadhanie waliouawa katika njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni wafu, bali wao wako hai...” (Qur’an 3:169)
Tofauti na wakiristo na wegine. Wanaona wakiwaua waislam ktk Jihad kama wanawakomoa, kumbe ni kuwarahishia njia ya peponi. Wasiokuwa waislam wao wakifa au wakiua kwao ni hasara
 
Njoo utumkane mtume mbele yangu halafu ndio utajua
Mimi nashangaa sana. Kwani mtume ndio Mungu si ni mtu tu kama wewe aliyezaliwa na kufa kama na wewe ulivyozaliwa na utakufa.

Ingekuwa busara umkasirikie mtu anayemdhihaki Mungu kuliko mtume kwa sababu mitume wako wengi na ni watu tu kama wengine lakini Mungu ni mmoja tu.
 
Kumbe nyote walokole wa kikristo na walokole wa kiislam kama Malaria 2 nyote wapuuzi tu. Mnatamani kwenda kwa Muumba na njia ya kwenda kwake ni kufa lakini mnaleta visingizio. Kufeni mfaidi mapema
Wewe ngoja ufe kwa ukimwi
 
Mimi nashangaa sana. Kwani mtume ndio Mungu si ni mtu tu kama wewe aliyezaliwa na kufa kama na wewe ulivyozaliwa na utakufa.

Ingekuwa busara umkasirikie mtu anayemdhihaki Mungu kuliko mtume kwa sababu mitume wako wengi na ni watu tu kama wengine lakini Mungu ni mmoja tu.
Namzunguzia mtumebwa haki sio Mtume wa waliopotea
 
Muislamu akifa kwenye Jihad ni furaha kwake

Mtu anayekufa katika njia ya Allah huitwa shahidi (shahid). Katika Qur'an kuna aya inayosema:
“Wala msiwadhanie waliouawa katika njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni wafu, bali wao wako hai...” (Qur’an 3:169)
Tofauti na wakiristo na wegine. Wanaona wakiwaua waislam ktk Jihad kama wanawakomoa, kumbe ni kuwarahishia njia ya peponi. Wasiokuwa waislam wao wakifa au wakiua kwao ni hasara
Maneno mengi vitendo ziro. Mujahedeen wa kongowe huko ndani ndani

Hakina binadam anataka au anakipenda kifo hayupo.

Stop pretending hapa
 
MNAPENDA kujifariji sana ,

Ukiumwa malaria au mafua unakimbilia hospital,kwanini usife tu uwe shahidi

Screenshot_20260317-212827_1.jpg
 
Sasa kwanini wanajificha kwenye mahandaki ndani ya nchi yao, na bado humo wanafumuliwa tu, mohammad aliwaingiza nyie watu kwenye ujuha wa kijinga sana, na mtakufa hadi mtie akili. Iran ndio ilikua umebaki taifa lenye nguvu na ambalo lilikua linazingatia huo upuzi wenu.
 
Unadhani Ronaldo hapendi kufunga goli siku ya fainal world cup?
mimi kuna kitu uwa sielewi kuhusu waislamu huwa najiuliza kipindi muhamed (SAW) alipokua duniani je alikua anaua watu waliokuwawanampinga au kumuongelea vibaya na je ndio maelekezo yake kuuua wote wanaomsema yeye vibaya ?
Muislam kufa shahudi sawa na ronado kufunga goli siku ya fainalkitu ambacho sielewi waislamu naomba unieleweshe wakati mtu,me
 
Back
Top Bottom