Muingiliano wa mawazo ya kufikirika

Muingiliano wa mawazo ya kufikirika

Nyama tamu asee mi vigezo vingine sawa lakin nyama[emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]iko hivi sio kwamba unaacha kwa ghafla! La hasha kwanza ni kitu ambacho hakiwezekaniki pili unaweza kupata madhara ya kiafya, unachofanya ni kuanza kupunguza kipimo taratibu mpaka ufikie mahali pa kuacha kabisa
Sex naweza kuicontrol vizuri, kula kwa muda sawa [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hili si gumu sana lakini kumbuka kwamba kwa miezi mitatu utaweza kuvumilia lakini baada ya hapo utaona kasheshe zake kwakuwa manii zitakuwa zimejaa kwenye reserve nazo zinataka kutoka
 
Somo zuri, thanks for sharing.. Kuna sehemu nilisoma wanasema kuna uhusiano mkubwa wa akili na mwili.. Yaani mind and body.. Asilimia kubwa ya wagonjwa mahospitalini wanatibiwa miili zaidi pasipo kujua shida imeanzia kwenye mind! Binafsi naona hayo unayoita mawazo ya kufikirika ndio yanatawala maisha yetu na kuamua mustakabali wa life ya mtu..
Let's emancipate ourselves from mental slavery..
 
Tofauti ya Mshana Jr. na sisi member wengine humu ndani mbali na Mshana kutoa mada zenye uhalisia wa asilimia kubwa pia anafuatilia pasipo eleweka anafafanua pakujazia nyama anajazia sio wengine tunakurupuka na maada then hatuzifuatili kama zinaitaji ufafanuzi. Ushauri tuige mfano kwa Mshana Jr. I appreciate you
 
Nyama ukishaacha acha kula na ukazoea hiyo hali ni vigumu mno kuirudia si kwamba kuna masharti la hasha lakini kule kuiona tu utajisikia vibaya
Vile vile nyama inaleta hasira kuongeza uzito na kukamaza misuli
Maandiko yanasema nyama ilileta manung'uniko kwa wana wa Israel, kipindi wanasafiri kwenda nchi ya ahadi huko njiani wanaanza kulaumu, ni heri tungebaki Misri huko kuna nyama kuliko huku, ilikua chakula kikikosekana wanalaumu uamuzi wao, waliona bora wangeendelea kuwa watumwa Misri kisa nyama[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Tetee ni kwel wana wa Israel waninung'unika sana tmesoma kwenye bible bro mshana embu uje uandae mada ya nyama manake umesema inamadhara wakati kibiology tunaambiwa ndo source of protini japo protini zinapatikana na kwingine pia
 
Ipo hiyo mbona? Tena nadhani ni mwaka juzi
 
Hizo si dhambi bali ni matendo ya kufurahisha mwili uozao mwili wenye kutamani kila kitu kizuri
SI DHAMBI ILA UKITAKA KUVIFANYA NA KUUFURAHISHA HUO MILI UOZAO NA NAFSI YAKO MDIO KUNAPELEKEA DHAMBI.
ILA VYENYEWE TU KAMA VYENYEWE HAVINA SHIDA.
 
Mimi nakuelewa vizuri sana..kwanza ni muhimu kupata tafsiri sahihi ya dhambi
Dhambi ni jambo la kiimani , nje ya hapo hakuna dhambi
Lakini vile vile dhambi ni matendo yote ya kuwaza kunena na kutenda yenye madhara kwako na kwa wengine...nje ya hapo hakuna dhambi
Hata tukiacha kuchukulia ki imani tukachukulia kikawaida kwa upana zaidi yote tusemayo ni dhambi basi "kimataifa" ni mabaya kwa namna moja au nyingine. kuua kusema uongo kuzini kusengenya katika maisha ya upendo ya kawaida pia si mambo mazuri. ndio maana hata budhist na pagani na rastafare(wafugarasta za asili) hupenda kuepukana na mambo hayo na kutenda mambo mema.
 
Kawaida mambo mepesi na hasi hukubalika haraka kwenye bongo za watu maaana ni rahisi. Ni rahisi kusikia watu wakisema maneno kama "aliyekupa wewe ndie kaninyima mimi" Hizi ni lugha rahisi ambazo ni hasi kabisa. Utawasikia hata viongozi wakisema mambo cheap and negative kiurahisi rahisi tu kwa sababu hivyo ndivyo viingiavyo akilini mwa watu kirahisi. Na matokeo yake ni kama haya ;-

  1. Ulawiti na ubakaji wa watoto ungeozeka nchini kwa kasi ya ajabu.
  2. Mauaji ya albino
  3. Mauaji ya wazee
  4. mauaji ya kila siku yasiyo na sababu zo zote kuanzia usalama hadi raia wenyewe
  5. Wizi wa kutupa kuanzia Eppa, meremeta hadi Esrow n.k
Yote na mengine mabaya hutokana na fikra hasi kwa sababu ni rahisi kuliko fikra chanya. Ukitaka kujua zaidi, angalia watu wetu wasivyopenda kusoma vitabu hata wale wasomi, viongozi wa dini na serikali ... Hawapendi kusoma. Watu hawapendi ukimya,..silence... Toka asubuhi ni makelele tu ya kila aina hadi usiku. Usiku nako kama hamna kelele za nje kuna za ndani ..kelele binafsi. Utakuta mtu anawaza jinsi ya kumpata demu aliyemuona mchana, anawaza jinsi ya kupata hela ya mchepuko unaomsumbua baby,baby, anawaza madeni , anawaza ugomvi na mkewe wa wiki nzima, ada ya watoto, Luku, maji, chakula cha kesho, simu feki inayofungiwa leo, mpira wa ulaya, mpira wa bongo na mengi mengineyo. Akiamka asubuhi anaenda kwenye kelele zingine na mzunguko unakuwa hauishi.

Akili ya binadamu wa kawaida huawaza vitu 60,000 elfu sitini kwa siku na mbaya zaidi ni kuwa 95% ya hivyo vitu ni vile vya kawaida alivyowaza jana ambavyo ni negative. Kwa hiyo watu wengi ni result of negative thinking. " You are what you think"'

Kuondoa haya manegative thoughts watu wanapswa kujifunza kufikiri sawa sawa. Ili kujua jinsi ya kuwaza sawa sawa positively, unapaswa kuzingatia haya; Muda wa ukimya, jinsi ya ku concetrate , meditation, na jinsi ya kuondoa mawazo ya zamani. Huwezi kufanya haya bila kupata elimu ambayo haiko kwenye chuo cho chote humu bongo, bali vitabuni.

Someni " The Monk Who Sold His Ferrari" By Robert Sharma. Big up wa Mshanajr.
 
Duu Mfamaji nimeukubali uchambuzi wako thanks ....ni kweli watu hawaishi kwenye nafsi zao bali fantasy world, ulimwengu wa kufikirika, ulimwengu wa starehe na mambo ya kimwili..muda wa kutafakari na kujitafakari ni mdogo sana .....matokeo yake ni hasi hasi hasi
 
a7f10c3a69cd26ec3053815fe07a70c2.jpg

Hakuna la Mungu hata moja hapo
 
Hongera zenu ndio zinanipa nguvu ya kusonga mbele. Nafarijika kuona kwenye hizi nyuzi za sasa wale wachafuzi hawaonekani naamini nao wanafaidika kimyakimya

unajua haya ni mambo ya rohoni, na ni inside out siyo outside in... unakuta unaelewa kitu bila kufanya effort yoyote! ndiyo maana sasa hivi waafrica na haswa haswa watanzania... tutasonga mbele sana katika mambo mengi mazuri bila hata kutumia nguvu... Watu wanaovutwa na mambo unayo andika ujue ndani yao wana kitu flani cha ziada (power beyond) ...watatafuta huku na huko mwisho watajitambua their own call in this beautiful and wonderful world! Remain blessed brother!
 
Uzi ni mzuri nimeuwelewa sana, tunahitaji kujenga taswila mzuri maana ndo mwanzo wa safari njema katika maisha
 
Back
Top Bottom