Muingiliano wa mawazo ya kufikirika

Muingiliano wa mawazo ya kufikirika

Kawaida mambo mepesi na hasi hukubalika haraka kwenye bongo za watu maaana ni rahisi. Ni rahisi kusikia watu wakisema maneno kama "aliyekupa wewe ndie kaninyima mimi" Hizi ni lugha rahisi ambazo ni hasi kabisa. Utawasikia hata viongozi wakisema mambo cheap and negative kiurahisi rahisi tu kwa sababu hivyo ndivyo viingiavyo akilini mwa watu kirahisi. Na matokeo yake ni kama haya ;-

  1. Ulawiti na ubakaji wa watoto ungeozeka nchini kwa kasi ya ajabu.
  2. Mauaji ya albino
  3. Mauaji ya wazee
  4. mauaji ya kila siku yasiyo na sababu zo zote kuanzia usalama hadi raia wenyewe
  5. Wizi wa kutupa kuanzia Eppa, meremeta hadi Esrow n.k
Yote na mengine mabaya hutokana na fikra hasi kwa sababu ni rahisi kuliko fikra chanya. Ukitaka kujua zaidi, angalia watu wetu wasivyopenda kusoma vitabu hata wale wasomi, viongozi wa dini na serikali ... Hawapendi kusoma. Watu hawapendi ukimya,..silence... Toka asubuhi ni makelele tu ya kila aina hadi usiku. Usiku nako kama hamna kelele za nje kuna za ndani ..kelele binafsi. Utakuta mtu anawaza jinsi ya kumpata demu aliyemuona mchana, anawaza jinsi ya kupata hela ya mchepuko unaomsumbua baby,baby, anawaza madeni , anawaza ugomvi na mkewe wa wiki nzima, ada ya watoto, Luku, maji, chakula cha kesho, simu feki inayofungiwa leo, mpira wa ulaya, mpira wa bongo na mengi mengineyo. Akiamka asubuhi anaenda kwenye kelele zingine na mzunguko unakuwa hauishi.

Akili ya binadamu wa kawaida huawaza vitu 60,000 elfu sitini kwa siku na mbaya zaidi ni kuwa 95% ya hivyo vitu ni vile vya kawaida alivyowaza jana ambavyo ni negative. Kwa hiyo watu wengi ni result of negative thinking. " You are what you think"'

Kuondoa haya manegative thoughts watu wanapswa kujifunza kufikiri sawa sawa. Ili kujua jinsi ya kuwaza sawa sawa positively, unapaswa kuzingatia haya; Muda wa ukimya, jinsi ya ku concetrate , meditation, na jinsi ya kuondoa mawazo ya zamani. Huwezi kufanya haya bila kupata elimu ambayo haiko kwenye chuo cho chote humu bongo, bali vitabuni.

Someni " The Monk Who Sold His Ferrari" By Robert Sharma. Big up wa Mshanajr.
Ufafanuzi kwa picha!hiki ndio kimejaza mawazo ya binadamu
82f51e7f221a51b2c4a06c4f21b5678a.jpg
 
Ukiangalia hiyo picha utaona picha za wanyama tofauti wazuri na wabaya! Mawazo ya mwanadamu yamejaa vitu vizuri na vibaya
Kamwe mtu hawezi kuwaza mambo mema tu wala mabaya tu bali huwa kuna mchanganyiko ndani yake
 
Nyama ukishaacha acha kula na ukazoea hiyo hali ni vigumu mno kuirudia si kwamba kuna masharti la hasha lakini kule kuiona tu utajisikia vibaya
Vile vile nyama inaleta hasira kuongeza uzito na kukamaza misuli
nakuelewa kaka mshana jr:je ni aina zote za nyama mkuu
 
Back
Top Bottom