Muingereza mwengine akatwa kichwa

Muingereza mwengine akatwa kichwa

Wauwawee tuuu...chinja sana hawa mambwa...
 
ndo kusema uislam ni.dini ya haki?
_ukitoa uhai wa mwenzio anayetaka kuishi kama wewe hiyo haki katika usilam inatoka wapi?

Siungi mkono binaadamu kuuwawa tena asiyekuwa na hatia ila hizi vurugu anayezitengeneza anajulikana ni marekani, israel na washirika wao, kwasasbabu zao za kiuchumi, na haya tunayoyaona ni matokeo tu, kwahiyo waache wachinjwe tu kwani wamejitakia
 
Ni muhimu kujua kuna global war iliyo base kwenye imani ya dini ya kiislam katika kulazima ukhalifa. Itasambaa dunia nzima. Na kimsingi iko well organized. Wamejigawa wakajipa majina tu ila mission ni moja - jihad. Alshabab, boko haram, alqaida, IS wote lao moja. Kesheni mkiomba mkijua yajayo.

Tunae baba

km Mungu aishivyo .....hayatafika
 
Hakika Hawa wote lengo ni moja
wanachofanya ni kupeana majukumu kwa wakati.
mtawatambua kwa matunda yao mti mwema huzaa matunda mema, na mti mwovu huzaa matunda maovu.
kule Australia wamepiga marufuku uvaaji wa Hijabu.
Ufaransa walishapiga marufuku uvaaji wa Hijabu.


 
Unapowwchukuwa wahuni na majambazi na ukawapa silaha na ukawafunza kuua kuna siku watakugeuka
Ndio hawa isis
Converts fake na wahuni ati freedom fighters
 
hizi ni propaganda tu nyie....lengo ndo hili...watu wote duniani waamini kua ETI ISIS wanawachinja wazungu...fatilieni issue kwa kina...msi fall kwenye traps zao.
 
ndo kusema uislam ni.dini ya haki?
_ukitoa uhai wa mwenzio anayetaka kuishi kama wewe hiyo haki katika usilam inatoka wapi?

Suala hapa sio Uislam ukweli ni kwamba makundi haya yoote ya kigaidi yameanzishwa na Marekani na hao Uingereza kundi kwa mfano la ISIS LIMEANZISHWA MWAKA 2012 Huko Jordan, lengo kuu ni kuipindua serikali ya Syria hawa sasa wamegeukana wacha wauane....
 
Back
Top Bottom