Registered_jf
JF-Expert Member
- Nov 27, 2024
- 1,226
- 2,100
Ukristo ulichangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya ugunduzi wa kisayansi kwa kutoa utulivu wa kijamii na kiakili, na kupitia kazi za wanasayansi waliomwamini Mungu kwa dhati.
1) Ukristo ulileta Utulivu kwasababu ya kuamini kwamba ukweli ni mmoja badala ya kuwa wa vurugu au machafuko, hivyo wasomi wakatumia muda kuchunguza, kufanya majaribio, na kuunda nadharia.
2) Waanzilishi wengi wa sayansi ya kisasa kina Isaac Newton, Johannes Kepler, Galileo Galilei, na Robert Boyle etc waliona kazi zao kama njia ya kuchunguza mpangilio wa kimantiki uliowekwa na Muumba wa mbinguni.
Waliamini asili (nature) inaongozwa na sheria thabiti zilizoweka na Muumba mwenye akili, wakawa na uhakika kwamba ulimwengu unaweza kuchunguzwa, kupimwa, na kueleweka.
3) Taasisi thabiti zilizohifadhiwa na utamaduni wa Kikristo: monasteries, makanisa, na vyuo vikuu zilitoa wasomi waliotafuta maarifa kwa msimamo kwamba imani na akili si maadui, bali ni washirika katika utafutaji wa ukweli.
Kinyume na kupinga sayansi (maendeleo), Ukristo ulisaidia kuunda mazingira ambayo uchunguzi wa kisayansi wa kisasa uliweza kuibuka na kustawi.
KWA UPANDE MWINGINE,
Historia inaonyesha kwamba jamii zilizovunja mipaka ya maadili na kuhalalisha uchafu (Libertinism) hudhoofika kutoka ndani na mwishowe kushindwa na maadui wa nje!
Mf. Ugiriki ya Kale, Ufaransa ya kabla ya Mapinduzi, Ujerumani kabla ya WW1, Roma ya kale, na sasa tunaona LIVE anguko la nchi za Magharibi.
Zile Crusades za Wakristo za miaka ya 1000 za kukataa influence ya watu fulani ambao hizi nchi za magharibi zimewakumbatia mbona zitakumbukwa ! !
Angalia hata jamii zilizoendelea ambazo watu wanadai hazina MUNGU mfano Japan, zilikiwa jamii zenye viwango vikali sana vya maadili, very similar na MUNGU wetu wa Agano la Kale, kosa kidogo tu umekatwa kichwa, zero tolerance for BS. Hizo ndo jamii zimeleta maendeleo, sio mauzauza unayoona wanaruhusu miaka hii.
"Naam, wakati wa watu wa Mataifa, ambao hawana sheria, wanapofanya kwa asili mambo yatakiwayo na sheria, wao ni sheria kwa nafsi zao wenyewe, hata ingawa hawana sheria.
Wao wanaonesha kwamba lile linalotakiwa na sheria limeandikwa kwenye mioyo yao, ambayo pia dhamiri zao zikiwashuhudia, nayo mawazo yao yenye kupingana yatawashtaki au kuwatetea."
Waroma.2.14-15.NENO
Udhoofu wa nchi za magharibi na zingine zilizoendelea kwenye familia na maadili kumeleta mgawanyiko kijamii na misukosuko ya kisiasa, na sasa maadui wame infiltrate ready to take action: destroy them.
Jamii ambazo Tamaa binafsi inachukua nafasi muhimu zaidi, vingine vinatolewa sadaka kwa raha za muda mfupi,
Jamii hizo zinaweza kuonekana zenye nguvu na za kisasa kwa muda, lakini chini ya uso wake zinapoteza misingi yake iliyozijenga hizo jamii in the first place na inayohitajika ili kudumu.
Hii ni ONYO jinsi kwenda kinyume na MUNGU kunavyodhoofisha jamii mzima.
Hata Oktoba 29 ukifikiria vizuri ni matokeo ya the same thing: no GOD among the people, just to bring destruction to the people.
1) Ukristo ulileta Utulivu kwasababu ya kuamini kwamba ukweli ni mmoja badala ya kuwa wa vurugu au machafuko, hivyo wasomi wakatumia muda kuchunguza, kufanya majaribio, na kuunda nadharia.
2) Waanzilishi wengi wa sayansi ya kisasa kina Isaac Newton, Johannes Kepler, Galileo Galilei, na Robert Boyle etc waliona kazi zao kama njia ya kuchunguza mpangilio wa kimantiki uliowekwa na Muumba wa mbinguni.
Waliamini asili (nature) inaongozwa na sheria thabiti zilizoweka na Muumba mwenye akili, wakawa na uhakika kwamba ulimwengu unaweza kuchunguzwa, kupimwa, na kueleweka.
3) Taasisi thabiti zilizohifadhiwa na utamaduni wa Kikristo: monasteries, makanisa, na vyuo vikuu zilitoa wasomi waliotafuta maarifa kwa msimamo kwamba imani na akili si maadui, bali ni washirika katika utafutaji wa ukweli.
Kinyume na kupinga sayansi (maendeleo), Ukristo ulisaidia kuunda mazingira ambayo uchunguzi wa kisayansi wa kisasa uliweza kuibuka na kustawi.
KWA UPANDE MWINGINE,
Historia inaonyesha kwamba jamii zilizovunja mipaka ya maadili na kuhalalisha uchafu (Libertinism) hudhoofika kutoka ndani na mwishowe kushindwa na maadui wa nje!
Mf. Ugiriki ya Kale, Ufaransa ya kabla ya Mapinduzi, Ujerumani kabla ya WW1, Roma ya kale, na sasa tunaona LIVE anguko la nchi za Magharibi.
Zile Crusades za Wakristo za miaka ya 1000 za kukataa influence ya watu fulani ambao hizi nchi za magharibi zimewakumbatia mbona zitakumbukwa ! !Angalia hata jamii zilizoendelea ambazo watu wanadai hazina MUNGU mfano Japan, zilikiwa jamii zenye viwango vikali sana vya maadili, very similar na MUNGU wetu wa Agano la Kale, kosa kidogo tu umekatwa kichwa, zero tolerance for BS. Hizo ndo jamii zimeleta maendeleo, sio mauzauza unayoona wanaruhusu miaka hii.