dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,754
- 18,778
Sema bwashee kaniletea kiu ya bia , acha nivute moja hapa ili tutambae na uziHuyo sio mzuri mkuu
Ilikuwa tu usiku na ulikuwa umelewa
Nimeweka kwenye VAR lakini Bado sijaona
Mdau alikuwa amelewaHuyo ndio muhudumu unae mzungumzia ?
Hiki ulichokifanya ni kosa kisheria za mtandaoni. Jirekebishe.Wakuu poleni san na vita vya Iran na Israel via marekani
Siyo. Pouwa wakuu wangu hii vita imeniadhiri sana pakubwa ukizingatia mm ni middle business man ambae kwa kias kikubwa nategemea mizigo kutoka china kisha na mm niuze kwa mlaji wa mwisho so hali siyo nzuri sna. Ila hvyo hvyo tunapmbna
Vita hivi siyo pouwa kbsa and these time marekani wameingia Cha kike mzozo ikiendelee hv uchumi WA taifa na wangu kwa ujumla utayumba sna
Pamoja na kwamba vita vinaendelea ila bado haijanizui mm kulamba bia mbili tatu ila sas hv nimepumguza bia kwamba nafanya mix ya bia na nyagi ili nifikie level mapema kbsa .castle lite za cane mbili au tatu na nyagi kisichana pembeni yake ....utaona picha chini hapo ingawa pia nyagi zimekuwa fake mno ila hvyo hvyo ntapambana nayo tu inanipaga mzuka sna
Bas bhna kuna bar yangu Huwa napenda tu kwenda kwa vyovyote vile kwani Ina watu wastarabu alfu mmeliki wake ni kigogo wa serekali katka idara fln hv
Hapa majuz boss ameleta vyombo vipya kbsa wahudumu wapya vyuma kweli kweli .mara nyingi mm sishobokei wahudumu ila these time huyu hapana ni mzuri kwa kias chake kias kwamba watu wanajazana kuja kuwa piga sound .nimefanikiwa kupewa namba demu hashobokei bia wala misozi sana akitumia ni bia 2 flying fish basi ankushukushukuru anatumia iphone macho mawili πkiashirio kwamba kuna muwekezaji mkubwa lzm na mm videmu vinao tumia iphone nawaguza tu kisha nasepa zangu
Naachi vumbi la hatari
Naomba kiwasilisha
Me nimebanwa na majukumu nimepiga break kidogoSema bwashee kaniletea kiu ya bia , acha nivute moja hapa ili tutambae na uzi
Mimi napiga bwashee π π πMdau alikuwa amelewa
Huyo hata anipe bure sipigi
Dah mimi majukumu yanayonibana mpaka nishindwe kunywa pombe siyataki bwashee πMe nimebanwa na majukumu nimepiga break kidogo
Nitakuwa free zaidi mwezi wa 5
Pombe mkuuHuu ni udhalilishaji, Mods wafute huu uzi.
Mashughuli ya kilimo yametinga mnoDah mimi majukumu yanayonibana mpaka nishindwe kunywa pombe siyataki bwashee π
Ukienda bar kabla haujaelewa ni ngumu kuona wazuriMwanangu nimecheka sana
π vyombo vishashuka π
Ova
Safi mkuuMashughuli ya kilimo yametinga mno
Tunafanya palizi
Nakuwa na vijana hadi jioni nalazima kuamka alfajiri sana tupambane na hii kasi ya mvua
Ngoja waje wale jamaa watasema huyo ni MSHANGAZI PROMAX. πππMwanangu nimecheka sana
π vyombo vishashuka π
Ova
Kunywa bia tu mkuu , uache pombe ili iweje sasa?Ngoja waje wale jamaa watasema huyo ni MSHANGAZI PROMAX.
NB. Kuna mwanangu wale wanakata pombe Kali gudugudu aisee now ini limevimba , macho ya NJANO SANAAAAAA, MWILI una ganzi hapati usingizi uchovuu, MWILI kukosa nguvu.. Bora kunywa kistaarabu
Oya min -me , wife kasema niache pombeee π π