Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 3,475
- 5,900
SUMMARY YA PRESS YA POLEPOLE
@AbroadTanzania1. Pole pole amemkataa Mgombea wa CCM Ataja kikwete kuvuruga mchakato, asema Utaratibu ulivunjwa, ataka wagombea wawe wengi siyo mmoja.
2. Asema SERIKALI ya Samia ni Kama Nyumba ambayo haina mwenyewe hakuna mwenye kauli ya kimamlaka.
3. Asema ndugai alimuonya kuhusu shule ya uongozi na kusema asipoacha atauwawa!
4. Asema kwamba Hata Magufuli alitoka nje kupigiwa kura upya
5. SERIKALI ya Samia kumejaa wahuni wanaomzunguka Ndo sababu ya kwanza kujiuzulu ili awe huru kusema
6. Wazee kwenye colido wanamkataa Samia Ila kwenye vikao wanakaa kimya
#KataaWahuni
