robertmjavija
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 541
- 415
Basi makufuli amrudishe muongo nayeye abadili jina [emoji3][emoji3][emoji3]
Naunga mkono hojaMuhongo atakumbukwa kwa mengi was very smart hasa umeme wa REA ulikuwa unaenda vizuri sana
Ni mitambo ya nani kaka , kama sio ya serikali ?Mgao ynaendelea, sasa ndio naamini kuwa ile mitambo ya kinyerezi si ya serikali sasa sijui huwa wanatuficha ya nn mbwa hawa
Mbezi ya kimaraSema upo wapi unafikiri kila kona hakuna umeme???
Duu lakini kwa vile pana giza, moto hawatauona.Mgao upo kote....hao ambao hawajafikiwa..wasubiri tu.
Moto watauona.
kwl bwn mgao upoNi kitambo kwakweli sijaona mgao wa umeme au kukatikakatika, mvua, kiangazi masika, umeme Tanzania kidogo ulikiwa stable kuliko miaka miwili Nyuma
Saizi mgao umeanza, kea wikiara tatu hakuna umeme siku nzima. Watu kadhaa wameniambia wana mgao mikoa tofauti tofauti. Swali ni Je Muhongo kaondoka Mugao umeanza?
Na darExactly bro kama umejua, ila nasikia Singida kitu ni kilekile, pia Mtwara
Mwanza huku tuko kizani piaHata Mbeya hali ni mbaya.