Muhongo kamzidi 'ujanja' Magufuli?

kaka mbona unakimbia swali.. umeanza na voda naona unaruka ruka mara nmb..

jibu kuhusu voda kwanza.. au unataka twende nmb??

haya swali lingine je nmb inajiendesha kwa hasara?? kama tanesco???

kaka jibu hoja kwa facts.. usihame hame kukimbia swali

cost cutting ni strategy no 1 mnapokuwa kwenye kipindi kigumu.. ila management ya tanesco haijui hili ndio maana units 700 wanazigawa tu.. na hata hamzi

 
kaka mbona unakimbia swali.. umeanza na voda naona unaruka ruka mara nmb..

jibu kuhusu voda kwanza.. au unataka twende nmb??

haya swali lingine je nmb inajiendesha kwa hasara?? kama tanesco???

kaka jibu hoja kwa facts


Wewe kumbe mtupu hivi?
hoja yako ya hasara nimeijibu kwa kukutajia mashirika ya ndege
yanajiendesha kwa hasara lakini staffs wanapata free tickets kama kawaida

Vodacom wafanyakazi wote walioajiriwa wanapewa airtme na bundles za kutosha kwa matumizi yao
nna ndugu wako vodacom nafasi za chini..wanapewa bundle na airtime
hadi wanagaia ndugu wengine.....same na Tigo na kampuni tele
 
sio kweli hili naomba uthibitishe.. kuna mtu namjua ameajiriwa tigo na hapewi vocha kisa position yake haimruhusu kupewa vocha... na nimeshamwita anakuja.. naomba uweke facts zako kuhusu hili


 
sio kweli hili naomba uthibitishe.. kuna mtu namjua ameajiriwa tigo na hapewi vocha kisa position yake haimruhusu kupewa vocha... na nimeshamwita anakuja.. naomba uweke facts zako kuhusu hili

Nimekupa mifano ya Daily News na mashirika ya ndege
naona umekomaa na mfano mmoja tu
bottom line staff rates ipo dunia nzima...

Mabenki yanayo kwa riba
Tanesco sio first duniani ku practise hiyo policy
 
so umehama tigo na voda.. umekimbilia daily news now?? nimekuuliza swali hujajibu naona unahama hama tu.. hoja zinajengwa kwa facts sio kwa kuhama hama na kuruka ruka hili ukimbie swali..

Nimekupa mifano ya Daily News na mashirika ya ndege
naona umekomaa na mfano mmoja tu
bottom line staff rates ipo dunia nzima...

Mabenki yanayo kwa riba
Tanesco sio first duniani ku practise hiyo policy
 
so umehama tigo na voda.. umekimbilia daily news now?? nimekuuliza swali hujajibu naona unahama hama tu.. hoja zinajengwa kwa facts sio kwa kuhama hama na kuruka ruka hili ukimbie swali..

Wewe kumbe ni mtupu kabisa
kama vodacom na Tigo ni baadhi ya wafanyakazi na sio wote
bado inatetea hoja yangu kuwa 'staff rates' inatumika
na hoja ni kuwa staff rates sio invention ya TANESCO
ipo dunia nzima....

Kama wewe akili yako inakufanya uamini staff rates inatakiwa kwa the few
na sio wote hiyo ni opinion yako tu..wengine wanaweza kupinga pia
na wakaona ni bora kwa wafanyakazi wote...
bottom line staff rates iko dunia nzima
 
Mkuu wangu achana na huyo Jamaa..naona anataka kutujazia tu server hapa


Ni mtupu huyu jamaa....
naona analeta habari za vijiweni humu
hoja hana....analeta mihemko tu
eti sio wafanyakazi wote.....vodacom
sasa kama hata ni wachache si kitu hiko hiko?
 
Tatizo kubwa ninaloliona kwenye serikali ya Magufuli ni kuwaogopa wanasiasa wenzie wa Ccm....

Na hicho ndicho kitamkwamisha........
Walimvunja nguvu baada ya jk kumuonesha matokeo halisi ya uchaguzi mkuu.
 
Huyo ni MTU wa musoma hamtamweza eneo hilo la musoma ni noma ndo maana lilimtoa rais wa kwanza wa nchi hii...wanajua kucheza na akili za watz
 
Kwa hiyo alikuwa hasomi e mail mpaka umshutue kuwa nimetuma soma.
 
usipanik mimi sikutukani sehem yoyote kuwa mjinga au mtupu.. ila najua pa kukubana sababu nimegundua huna facts.... nashangaa unanitukana tu sijui hesabu kilaza na the like... tubishane kwa hoja au lugha nyingine facts.. tusitukanane maana matusi sio sahihi...

je ni sahihi kutoa unit 700 bure kipindi ambapo unapata hasara?? why not 100 au 200 units...

hao wa voda unawaongelea sio staff rate tu bali wanapewa bureee ili watimize majukumu ya kazi na kuleta faida... je units za tanesco mnazitumia kufanyia kazi na kuleta faida kwa shirika???


 

Mkuu achana nao wana akili ndogo kama viongozi wao wa ccm.
 
Kwanza inabidi ufahamu unapambana na hater namba moja wa Muhongo kuna maada nyingi ameanzisha against Prof Muhongo,nimekupa angalizo tu unaweza kuendelea
 
Hayo ya ujanja nani kamzidi mwenzake hayatuhusu muhimu kwetu service charge iliondolewa(ilikuwa wizi mtupu)pia umeme bado bei ipo palepale sasa sijui wewe ulitaka umeme upande na service charge ilirudi ili kesho muanze kuimba ngonjera zenu dhidi ya serikali,watu wazima hovyoo
 
Muhongo ni mtu smart sana mkuu acha kuwanga. Stori unazoskia kwenye habari na uhalisia ni vitu viwili tofauti!
 
Acha kutetea mahovu,,, muhongo kafanya kwelii,, upandaji wa bei za umeme tungekuwa baado tunategemea maji na upepo sawa,, japo tushaambiwa janja janja yao ya kufungulia maji,,, leo vyanzo vya uzalishaji vmeongozeka,, baado mtu anajitahidii kumnyonga mnyonge,, tuache siasa, siku chache kabla ya jamaa kutengeliwa mliansindika mengi kuhusu kauli ya prf muhongo kutopanda bei ya umeme,,, kafanya kaz yake mmegeuka,,, achen unafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…