Muhongo atoroka!

mue mnapunguza mihemko wakati wa kusoma magazeti.Ametumia ufundi wa kitaaluma kuku changanya mleta uzi.
 
Hayo ni kwa mujibu wa tafsiri yako tuu, hakuna njia ya kukusaidia uelewe tofauti na unavyoelewa.
 
Wewe mwenyewe huna mpango wa kuinua uchumi wako binafsi na familia yako - Maisha yamekushinda umebaki kuporomosha matusi tu ya lawama humu. Kwanini unadhani kuinua uchumi wa Taifa zima ni kazi ya muda mfupi ?


Mkuu nilishakuja kukuomba msaada mpaka unatoa povu namna hii? Unaonekana unanifahamu vizuri sana mpaka familia yangu pia unaifahamu. Hongera sana mkuu kwa comment yako yenye povu la kiwango cha lami
 
Kwani lazima simumuache mnamfatafata wa nn? Mshasema alifiwa na dada ake so? Aje kufanya nn ambacho nyie hamuwezi fanya peke enu? Acheni blah blah
 
Nadhani Muhongo ana gundu la hatari sana , mbona wenzake akina Chenge wanapeta tu ?
 
nasikia singa walimwambie aje asaini mkataba wa iptl kuja bongo ndo akakamatwa eti .alikuwa zake nje siku nyingi.jamaaa mroho wa hela sana.nampongeza muhongo kukimbia
 
Gazeti lenyewe nipashe sishangai kilichoandikwa humo na sio mara ya kwanza kumwandika vibaya profesa wa ukweli ila suala la uwemezaji kwa wawekezaji WA kibongo bado sana
Halafu mtu kama wewe unaweza kukuta unaosha vyombo au kuwaogesha wazungu uko Kwai....pathetic!!
 
Hilo gazeti ni lakubumba tu
Ni chuki binafc hio ya kampuni la hilo gazeti na pro Muhongo
Kisa mwenye kumiliki hilo gazeti alinyimwa hati za kumiliki ardhi zenye madini
Wakati pro akiwa ktk uongozi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…