Lastname
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 921
- 297
Ila Muhungo aliiweza sana nishati na madini,sema tu zengwe la kina machache.
Angalia performance vs. money spent
Ila Muhungo aliiweza sana nishati na madini,sema tu zengwe la kina machache.
Udalali wake kwenye gesi ni upi we kilaza??? Hayo makampuni yalikuwepo kabla yake mbona hamkuwaita watangulizi wake madalali??? Tatizo mmenyimwa ulaji wa shortcut pale nishati basi kujifurahisha mmeona mumtungie majina ya waliowatuma mxyuuuu!!!
Prof. Muhongo =Dr. Bunduki + prof. Safari Journey + prof. Lip +Tobo la Kisu. Huyo ndo msomi halisi.
With all confidence eti unasema atakuwepo. Seriously??????huyu prof. atakuwepo ktk ile orodha ya stanbk ambayo orodha haikutoka...
ukichuja ktk mafisadi, utapata fisadi mkuu!!
Nimalize Mara Ngapi?
Acha undorobo wewe kama kauli yake ni ya uongo, si muende mkakope kwenye hayo mabenki na muwekeze ili kumprove wrong. Muhongo alifafanua hiyo kauli kuwa biashara ya gesi ni ya kubahatisha ndio maana anashauri watu wawekeze kwingine anawaonea huruma msifilisike, angalia uwezo wa makampuni yanayofanya utafiti nchini halafu ndo upige kelele.
Hayo mabenki yanakopesha kama yakiona una uweZo wa kurudisha salio hata kama ukikosa unachobahatisha. Hakuna benki inayokopesha kiholela, hao unaowatetea waambie wakakope kama watapata hiyo mikopo, sio unabwabwaja tu.
kati ya wagombea wote, muhongo ni mzuri kuliko hata wagombea wote wa UKAWA.muhongo fisadi pia linajiamini,majizi ya ccm kama mashetani hayaogopi juzi tu leo anataka ikuru
Kwa Lowasa(Mwakyembe katuonea),kwa Muhongo (Zitto katuonea), Hakuna mtia nia mwenye doa CCM,hata Chenge akitangaza nia sitashangaa wapambe wake waikisema mzalendo anakuja kutukomboa. This is CCM bana!.
Dalali naye anahangaika bure ubunge wenyewe amepewa uraisi naye anafikiria ni kupewa anajidanganya sana.
Huwajui wakwepa kodi kina nani???? Hujawai kusikia kuna kampuni fulani watu wanafanya kazi bila kupewa mikataba???Wanakwepa Kodi? Kivipi, nyie msitufanye mbulula. Salsa mbona fedha ya Escrow ilitoka bila kulipiwa kodi? Acheni utoto wenu humu jf. Hafai Kabisa hana sifa ya kuchaguliwa labda ateuliwe kuwa Raid wa hicho kijiji chenu.
Duuh, wewe mwingine umejileta. Haya tupe ushahidi basi wa uliyoyasema. ila usikimbie kama wenzako walioulizwa ushahidi alafu wametokomea.muhongo fisadi pia linajiamini,majizi ya ccm kama mashetani hayaogopi juzi tu leo anataka ikuru
View attachment 259082Mnazidi tu kujileta watoa tuhuma ila mkiambiwa ushahidi mnakimbia. Haya na wewe tuletee ushahidi wako wa uhusika wa Muhongo kwenye udalali na ufisadi wa escrow. Ukishindwa usiku mwema.