Muhongo agombaniwa kudhaminiwa

Muhongo agombaniwa kudhaminiwa

dalali wa gesi na ufisadi wa esklow ktk ubora wake.

'pesa chukueni.... lkn mjue wengi mafisadi' - dk kitine.
 
Watanzania watu wa ajabu sana,c ni nyie ndo mlikua mnalia kila cku huyu jamaa ajiuzulu kwenye skendo ya ESCROW!

Watanzania waliokuwa wakilia ajiuzulu ni wezi waliokuwa wakifaidika na rasilimali kwa shortcut wakisaidiana na baadhi ya magaZeti. Tafadhali usitujumuishe katika hilo kundi, tulikuwa tukimuamini muhongo na bado tunamuamini.
 
sasa si mfunge hiyo wizara kama hakuna mtu mwingine wa kuiendesha?

Nafkir hujamwelewa susuma, wapo waendeshaji lakin ukweli utabaki palepale kuwa profesa alileta mageuzi chanya ndani ya kipindi kifupi.
 
Nakumbuka alisema hakuna mtanzania mwenye pesa ya kuwekeza kwenye miradi ya gesi, eti uwekezaji katika gesi unahitaji matrilioni kwa akili yake ndogo anafikiri hao wazungu wanaowekeza kwenye gesi wanayo hayo matriilioni mifukoni mwao!!!!!!!!!

Anafaa tu kuwa mtafiti katika maswala ya nishati lakini sio kuongoza nchi, ni kazi kubwa kuliko kuwekeza kwenye miradi ya gesi

Acha undorobo wewe kama kauli yake ni ya uongo, si muende mkakope kwenye hayo mabenki na muwekeze ili kumprove wrong. Muhongo alifafanua hiyo kauli kuwa biashara ya gesi ni ya kubahatisha ndio maana anashauri watu wawekeze kwingine anawaonea huruma msifilisike,

angalia uwezo wa makampuni yanayofanya utafiti nchini halafu ndo upige kelele. Hayo mabenki yanakopesha kama yakiona una uweZo wa kurudisha salio hata kama ukikosa unachobahatisha. Hakuna benki inayokopesha kiholela, hao unaowatetea waambie wakakope kama watapata hiyo mikopo, sio unabwabwaja tu.
 
Anamalizia pesa zake za escrow kutafuta sifa tu hamna kitu hapo.

Shilingi ngapi weka ushahidi hapa kutoka katika ripoti zote ulizokuwa nazo.hizi tuhuma zenu za uongo na za kitoto ziliisha utamu kitambo nenda kalale tu.
 
dalali wa gesi na ufisadi wa esklow ktk ubora wake.

'pesa chukueni.... lkn mjue wengi mafisadi' - dk kitine.

Kuna msemo unasema ukweli unachelewaga tu kufika lakini huwezi kuuzuia kufika.
Kuna watu walikuwa wanacheza na akili za watanzania wakiwa wanafikiri ukweli hautafika na sasa umefika.

Kama unabisha ndugu yangu nijibu hili swali hapa...., Tuwekee humu kwa ushahidi wote udalali wote wa muhongo na ufisadi wake kwenye escrow saga?
Au tuelekeze twende wapi kuuchukua huo ushahidi kwa CAG au PCCB au TUME YA MAADILI??

Nakusubiri.
 

Haupishani Sana Kwa Uwezo Mdogo Wa Akili Kama Mwenyekiti Wa SPUTANZA Mohamed Kisoky Na Mchezaji POPOMA ALIYETUKA Ramadhan Singano Na Mchambuzi Wa Soka Mwenye Tabia Za Kike, Kimbea Na Kipashkuna Kama Dauda.
 
Haupishani Sana Kwa Uwezo Mdogo Wa Akili Kama Mwenyekiti Wa SPUTANZA Mohamed Kisoky Na Mchezaji POPOMA ALIYETUKA Ramadhan Singano Na Mchambuzi Mwenye Tabia Za Kimbea Na Kipashkuna Kama Dauda.

Kwani nimekataa kitu...
We sema yote ukimaliza kaa kimya
 
dalali wa gesi na ufisadi wa esklow ktk ubora wake.

'pesa chukueni.... lkn mjue wengi mafisadi' - dk kitine.

Udalali wake kwenye gesi ni upi we kilaza??? Hayo makampuni yalikuwepo kabla yake mbona hamkuwaita watangulizi wake madalali??? Tatizo mmenyimwa ulaji wa shortcut pale nishati basi kujifurahisha mmeona mumtungie majina ya waliowatuma mxyuuuu!!!
 
jaman kashfa ya escrow imesha sahauliwa!?

Watanzania tuna akili sana tunajua escrow waliingizwa waliokuwamo na wasiokuwamo kwa sababu watu walitaka mwiba wa wakwepa kodi utoke walifanikiwa katika hilo ila mjue kuwa mmempiga chura teke hahahahhaha jembe hilo linakuja kwa mara nyingine, sijui mtamtungia uongo gani safari hii, kejeli zenu na ngebe zinawarudia wote, mmoja tayari uongo wake umemponza na sasa anaujutia.
 
Angeweza kuzuia kivipi mkuu? kama mshauri mkuu wa serikali kwenye mambo ya sheria AG alishauri hela itoke baada ya ule uamuzi wa mahakama yeye kama waziri angefanyaje??? au tuseme wewe kama waziri ungefanyaje???

Alipoona hvyo mapema angejihuzuru ili kujitoa,lkn alitulia tu na yy akachota kiac chake
 
huyu prof. atakuwepo ktk ile orodha ya stanbk ambayo orodha haikutoka...

ukichuja ktk mafisadi, utapata fisadi mkuu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom