Muhongo agombaniwa kudhaminiwa

Muhongo agombaniwa kudhaminiwa

Lord denning na unanitaka
inaelekea mmelipwa vizuri na muhongo ?.
mngeweka na ile orodha ya stanbik
Duuuh muamala wa stanbic tu mmedaiwa muweke ushahidi humu mmeshindwa,saivi unanisema na mie nimelipwa??????
Kweli ni bora usiende shule tu tujue kuwa wewe hujaelimika.
Naona unaanza kuleta siasa na kumbuka Muhongo keshasema akiingia madarakani mambo ya kuweka siasa kwenye kila kitu sahauni.
 
Tatizo lake moja tu, dharau na kujifanya anajua. Prof Lipumba ni mchumi wa dunia hadi world economic crisis inamjua lakin hatujasikia hata siku moja kujisifu sifu, yeye mpasua miamba kuutwa kujisifu tu, hapa hana nafasi
Dharau zake kivipi???
Na zimekuathiri vipi kama mtanzania wa kawaida???? Endeleeni tu na siasa zenu na ushabiki wenu usio na maono, tutaendelea kuwa masikinio hadi mwisho wa dunia kwa sababu mbaya zaidi mnawapiga siasa hadi watu potential wa kuwaamsha na kuwapeleka mnakotakiwa kuwa.
Mungu atusaidie kwa kweli.
 
Lord denning na unanitaka
inaelekea mmelipwa vizuri na muhongo ?.
mngeweka na ile orodha ya stanbik

Wewe uliyelipwa na wakwepa kodi ndio uweke list ya stanbink si mnasema muhongo yupo?? Umezoea wiziwizi tu hatuhitaji kulipwa ndugu jembe muhongo anajiuza kwa weledi wake kwenye kazi. Wewe unayelipwa ili umchafue pole kwako na wakwepa kodi wenzio
 
Last edited by a moderator:
Hii thread naona ni ya campaign ya Muhongo..

Kama kutoa taarifa ni campaign basi YES, watangaza nia wote wana threads zao humu kumbe nao ni campaign??? Then why muhongo asitolewe taarifa kwa anayoyafanya.
 
Acha undorobo wewe kama kauli yake ni ya uongo, si muende mkakope kwenye hayo mabenki na muwekeze ili kumprove wrong. Muhongo alifafanua hiyo kauli kuwa biashara ya gesi ni ya kubahatisha ndio maana anashauri watu wawekeze kwingine anawaonea huruma msifilisike,

angalia uwezo wa makampuni yanayofanya utafiti nchini halafu ndo upige kelele. Hayo mabenki yanakopesha kama yakiona una uweZo wa kurudisha salio hata kama ukikosa unachobahatisha. Hakuna benki inayokopesha kiholela, hao unaowatetea waambie wakakope kama watapata hiyo mikopo, sio unabwabwaja tu.

Yaani unavotetea ujinga! kama sio Muhongo wewe basi ni toto lake maana naona mawazo yanaelekeana. Nduguyangu, kama umesoma utatambua tu huwezi kuwa bingwa wa kila kitu, wewe mtaalam wa Geology waachie maswala ya uchumi na uwekezaji wenye fani yao.

Makosa ya Muhongo ni kujiona anajua kila kitu na kutoa maamzi ya fani ambazo hana uelewa nazo na kutotafuta ushauri kwa wenye uelewa!

Kwa ufupi Muhongo hafai kuwa Rais, period!
 
aaah!!! ameanza kwa sinema nyingine? laa mwaka huu novel lazima zijae!!!
 
angekuwa muadilifu asinge ruhusu escrow ipite alijua akaogopa afai
just wasting time
 
angekuwa muadilifu asinge ruhusu escrow ipite alijua akaogopa afai
just wasting time
Tusaidie ndugu yangu unayejua aliruhusuje escrow kupita?
Kwa taarifa ipi ya uchunguzi au maadili uliyokuwa nayo labda sie hatuna? CAG AU PCCB AU TUME YA MAADILI???
Usikimbie tu kama wenzako walivokimbia ndugu tuambie hapa.
 
Yaani unavotetea ujinga! kama sio Muhongo wewe basi ni toto lake maana naona mawazo yanaelekeana. Nduguyangu, kama umesoma utatambua tu huwezi kuwa bingwa wa kila kitu, wewe mtaalam wa Geology waachie maswala ya uchumi na uwekezaji wenye fani yao.

Makosa ya Muhongo ni kujiona anajua kila kitu na kutoa maamzi ya fani ambazo hana uelewa nazo na kutotafuta ushauri kwa wenye uelewa!

Kwa ufupi Muhongo hafai kuwa Rais, period!
Mtu akiongea ukweli mnaanza kutunga eti mtu ana ubini nae.
Hizi ni dharau kubwa kwa kizazi cha Tanzania na Watanzania. Tuseme watanzania hatufuatilii mambo? Tuseme watanzania sio wachunguzi kama ulivo wewe????
Embu tuambie wapi muhongo amesema yeye ni mtaalam wa kila kitu??? au ndo unamlisha maneno????? Alafu tuambie wapi Muhongo alitoa uamuzi wa fani asiyo na uelewa nayo???? Na wapi Muhongo alitoa uamuzi bila kufuata ushauri????? Naona umekuja na satori zingine basi tuthibitishie hapa.
 
Our god must be crazzy, this guy still stinks escrow
 
Muhongo no mtu makini sana na anaonekana kuja kuwakomboa watanzania ukisikiliza speech take bro utagundua jamaa kama amechelewa ilipasa awe rais wa awamu ya nne
 
Watanzania tuna akili sana tunajua escrow waliingizwa waliokuwamo na wasiokuwamo kwa sababu watu walitaka mwiba wa wakwepa kodi utoke walifanikiwa katika hilo ila mjue kuwa mmempiga chura teke hahahahhaha jembe hilo linakuja kwa mara nyingine, sijui mtamtungia uongo gani safari hii, kejeli zenu na ngebe zinawarudia wote, mmoja tayari uongo wake umemponza na sasa anaujutia.

Yaani aibu imewashika hadi kwa sasa wanapata woga. Walidhani hatopata wadhamini sasa wanaambiwa watu wanampigania kumdhamini BILA PESA, wao wajiandae kulipa kodi stahiki za serikali katika AWAMU YA TANO.
 
Nakumbuka alisema hakuna mtanzania mwenye pesa ya kuwekeza kwenye miradi ya gesi, eti uwekezaji katika gesi unahitaji matrilioni kwa akili yake ndogo anafikiri hao wazungu wanaowekeza kwenye gesi wanayo hayo matriilioni mifukoni mwao!!!!!!!!!

Anafaa tu kuwa mtafiti katika maswala ya nishati lakini sio kuongoza nchi, ni kazi kubwa kuliko kuwekeza kwenye miradi ya gesi

Mkuu umenena! huyu jamaa hatufai hata kidogo ni tapeli tu! Umeme viijiini n sera ya taifa na sio mpango wa Mhongo hata kidogo na utaendelea bila yeye na fedha za wahisani sio za wakurya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom