Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,566
- 60,945
- Thread starter
- #81
Waliomo humu ndio waliopo hapo mtaani kwakoWatu wako serious 😎
Waliomo humu ndio waliopo hapo mtaani kwakoWatu wako serious 😎
naona uko mawindoni kisayansi zaidi gentleman,Mzee wa itikadi...
umenichekesha hadi nimeshindwa kukoment ushauri zaidi gentleman 🤣😁😁 Gentleman inaonekana ana hela ila mubahiri
Hao wanataka tuanze kuzonyoroda pumpkin zetu waache kuongea hayo mambo, na kutupa hawatakiMuhimu sana
wakorofi kwenye unyanduzi hua kama malaika gentleman,We mkorofiii....
Ishini nasi kwa akili
Wikend hii tunatafuta wa kulewa naonaona uko mawindoni kisayansi zaidi gentleman,
consistency ni muhimu sana gentleman.
bana tu hapo hapo, kwa kunyatia hivyo hivyo, bila kuchoka yoyote, wapo watakaoingia kwenye18 zako bila wasi wasi wowote, kama vile wanaingia kuabudu 🐒
Ebu njoo kwanza tulewe, tusinyimane tulivyopewa bure.Kupendwa bila Hela ni matumizi mabaya ya upendo,labda muonekano ukusaidie.
Maandiko gani?Maandiko yanasema, pendaneni kama nilivyowapenda ninyi.
Tuma kusafiri please na isiwe boda kope zangu zitachomoka 😜😅😅😅Ebu njoo kwanza tulewe, tusinyimane tulivyopewa bure.
WanakujaHaya sisimizi mjipange uelekeo ni kwenye deli la sukari 😂
Ya aliye juuMaandiko gani?
Nakuja mwenyewe, nipe maelekezoTuma kusafiri please na isiwe boda kope zangu zitachomoka 😜😅😅😅