Muhimu : Simba iitishe Mkutano Mkuu wa Dharula ili kumuondoa Makonda

Sasa ni dhahiri kwamba huyu Makonda amepigwa marufuku kukanyaga Marekani , kuendelea kumbakisha kama Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba ni kuiingiza timu yetu kwenye uchafu wake ulioshitukiwa dunia nzima . Simba ni Taasisi kubwa yenye mipango mingi ndani na nje ya nchi , mtu mwenye tuhuma za kuzuia haki ya kuishi ya binadamu wenzake hafai si kwa simba tu , bali anapaswa kutengwa hata kwenye nyumba za ibada .

Nashauri atimuliwe haraka
Mhhh!
 
Itabidi WCB nao wampige chini kama mlezi wao.

dodge
Tetesi zinadokeza kwamba wawili kutoka Wasafi wapo kwenye orodha ya kupigwa pini kutokana na ukaribu wenye mashaka na Makonda , tuendelee kutega sikio
 
Acha wafanye utani waje wasikie MO kapigwa pin asiende huko kwani ana ukaribu Makonda ndio watajua kuwa kucheza cheza na MTU anukaye mavi nawe utanuka tuu
 
Sasa ni dhahiri kwamba huyu Makonda amepigwa marufuku kukanyaga Marekani , kuendelea kumbakisha kama Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba ni kuiingiza timu yetu kwenye uchafu wake ulioshitukiwa dunia nzima . Simba ni Taasisi kubwa yenye mipango mingi ndani na nje ya nchi , mtu mwenye tuhuma za kuzuia haki ya kuishi ya binadamu wenzake hafai si kwa simba tu , bali anapaswa kutengwa hata kwenye nyumba za ibada .

Nashauri atimuliwe haraka
Mo anataka kutuletea uccm simba
 
Huu upumbavu wako peleka Ufipa
Marekani sio Mbinguni
Na wala hawatengenezi moyo
Na jiulize Makonda ktk uhai wako wote Kaenda marekani marangapi
 
Ushauri wa Kipumbavu. Mambo ya Siasa acha kwenye Siasa. Usilete kwe Mpira. Yeye kupigwa marufuku kwenda USA kuna athiri nini Simba? Acha ushabiki maandazi.mpira ni upendo,mpira ni amani. Tutashirikiana kwenye mpira tutashindana kwenye siasa. Msilete upumbavu wenu kwenye siasa kwenye michezo.
 
Hapa si siasa mkuu,huyu mtu katuhumiwa kufaya mambo mengi yasiyofaa kwenye jamii,timu ya simba ipo kwa ajiri ya jamii,sasa inawezaje kushauriwa na mtu wa namna hii?
 
Kutuhumiwa ni jambo moja. Kuthibitishwa ni jambo jingine. Tukianza kuhukumu kwa kutuhumiana sijui kama kuna mtu atapona. Mimi siungi mkono tuhuma zake.lakini sipendi ziingilie mpira.

Wewe unadhani huo udhibitisho watu hawana? adingepigwa pin bila udhibitisho,akaapeal aone wanayopewa za uso
 
Sasa ni dhahiri kwamba huyu Makonda amepigwa marufuku kukanyaga Marekani , kuendelea kumbakisha kama Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba ni kuiingiza timu yetu kwenye uchafu wake ulioshitukiwa dunia nzima . Simba ni Taasisi kubwa yenye mipango mingi ndani na nje ya nchi , mtu mwenye tuhuma za kuzuia haki ya kuishi ya binadamu wenzake hafai si kwa simba tu , bali anapaswa kutengwa hata kwenye nyumba za ibada .

Nashauri atimuliwe haraka
Makonda ni mshauri Mkuu wa Magufuli
 
Tuache hiyo marufuku ya Marekani. Huyo mnayemsema, kapataje hiyo kazi ya ushauri SSC? Ni kutokana na cheo chake, utaalamu wake, uzoefu wake au nini?

Hivi SSC ina nafasi ya mshauri?

Naona mwenendo wa SSC siku hizi ni kushinda kwa shida, sioni beki iliyo tulia, ni matokeo ya ushauri au nini?

Watu wasiifanye klabu yetu pendwa kuwa darasa la majaribio ya kufuzu utaalam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zake zinahesabiwa na Marekani
Marekani siyo peponi mjue, angezuiliwa kwenda Buza tungestuka marekeni siyo maji ya kunywa punguzeni mihemko hawa Mashoga dawa iwaingie kutetea ujinga ujinga wa midume mizima kuko-jolewa
 
Back
Top Bottom