Muhimu : Simba iitishe Mkutano Mkuu wa Dharula ili kumuondoa Makonda

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,476
215,302
Sasa ni dhahiri kwamba huyu Makonda amepigwa marufuku kukanyaga Marekani , kuendelea kumbakisha kama Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba ni kuiingiza timu yetu kwenye uchafu wake ulioshitukiwa dunia nzima . Simba ni Taasisi kubwa yenye mipango mingi ndani na nje ya nchi , mtu mwenye tuhuma za kuzuia haki ya kuishi ya binadamu wenzake hafai si kwa simba tu , bali anapaswa kutengwa hata kwenye nyumba za ibada .

Nashauri atimuliwe haraka
 
kwani anasimamia mambo ya foreign affairs ya simba? atafanya kazi humu humu nchini.
Sasa ni dhahiri kwamba huyu Makonda amepigwa marufuku kukanyaga Marekani , kuendelea kumbakisha kama Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba ji kuiingiza timu yetu kwenye uchafu wake ulioshitukiwa dunia nzima .

Nashauri atimuliwe haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala haihitaji mkutano
Mshauri aliyemteua atengue uteuzi
 
Sasa ni dhahiri kwamba huyu Makonda amepigwa marufuku kukanyaga Marekani , kuendelea kumbakisha kama Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba ni kuiingiza timu yetu kwenye uchafu wake ulioshitukiwa dunia nzima . Simba ni Taasisi kubwa yenye mipango mingi ndani na nje ya nchi , mtu mwenye tuhuma za kuzuia haki ya kuishi ya binadamu wenzake hafai si kwa simba tu , bali anapaswa kutengwa hata kwenye nyumba za ibada .

Nashauri atimuliwe haraka
Ndiye mshauri mkuu wa Mo katika kununua marefa so hawezi kufukuzwa
Ushauri mkuu wa uharifu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ni dhahiri kwamba huyu Makonda amepigwa marufuku kukanyaga Marekani , kuendelea kumbakisha kama Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba ni kuiingiza timu yetu kwenye uchafu wake ulioshitukiwa dunia nzima . Simba ni Taasisi kubwa yenye mipango mingi ndani na nje ya nchi , mtu mwenye tuhuma za kuzuia haki ya kuishi ya binadamu wenzake hafai si kwa simba tu , bali anapaswa kutengwa hata kwenye nyumba za ibada .

Nashauri atimuliwe haraka
Ushauri mzuri lakini kwani kuna mkutano ulimteua au kuna mtu tu alimteua kwenye twitter na kama kutengeluwa kwenye twitter.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom