Show ur character i ll show ur destiny
kaa na mtu aneomba anaesoma biblia.nawe utakuwa mtu wa maombi na neno la mungu,kaa na watu sio wanasema nini bali wanaosema neno la mungu linasema nini,
amos 3:3
watu wawili awawezi kwenda njia moja pasipokupatana si wote wanaoita bwana bwana watakaouona ufalme wa mungu
1 sam 18:20
ukitembea na watu waliopenya wenye kumjua mungu wenye kuenenda sawa na neno la mungu nawe utapenya katika maisha yako sema amen kama waamini
yawezekana unaitaji gari,nyumba nenda kwa mtu anaeishi kwenye nyumba yake mwambie mungu kama niingiapo hapa nami mwaka huu naitaji kuwa na nyumba yangu,usiende kwenye nyumba ya kupanga ukatolea unabii utabakia kupangisha ameni??tunaitaji kubadilishwa katika maisha yetu,tunaitaji ku risk maisha ,ili tuenende katika bwana,usiogope kuachana na rafiki yako ama amekutafutia mchumba ,alikuonyesha kiwanja,mungu ndie mweza yote
kuna watu wana roho za kupoteza;unaweza kushika pesa million na mamillion sababu uko na watu wa kupoteza utashangaa wiki zote pesa zimeisha ujui umefanyia nini,
yohana 8:31,32
""ukiijua kweli nayo kweli itakuweka huru""
yeremia 1 : 12
"naliangalia neno nipate kulitimiza" neno la mungu ni kweli
yoh 63:6
neno la mungu ni roho,ukilishika neno umelinda roho yako
hesabu 14:28 ""kadri mwombavyo ndivyo nitakavyotenda,mungu anaitaji kusikia mdomo wako uki shout ukiomba.usiogope kuomba marafiki wema wenye tabia njema wanaomtukuza mungu;usikubali kupotea sababu ya pombe;achana na marafiki walevi;mungu anaitaji kuokoa roho yako siku ya leo,mungu akakubadilishe akupe marafiki wapya wazuri wenye kumpendeza mungu ;watu wasio na nia mbaya juu ya roho yako